Search results

  1. kimsboy

    Ukiangalia jinsi Rais Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

    Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa...
  2. kimsboy

    Ikija kugundulika Israel wamehusika hiiiiii

    Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana. Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na...
  3. kimsboy

    India yavunja rekodi ya kujenga kilometres 100 za lami kwa saa 100 tu

    India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile ===== India has achieved another milestone in the road infrastructure sector by laying bituminous concrete over a distance of 100...
  4. kimsboy

    Badala ya kupambana gesi ishuke, yeye anataka gesi iwe kama Luku

    Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku kwenye mtungi Yaani kamtungi kanafungwa luku unanunua gesi ya elfu 10 hela ikikata hiyo siku...
  5. kimsboy

    Kwenu umeme upo? Kuanzia Mbezi, Kibamba, Goba hadi Ubungo na maeneo mengi hayana umeme

    Tangu saa 12 hatuna umeme, kwenu je? Kwenu umeme upo? Kuanzia Mbezi, Kibamba, Goba hadi Ubungo na maeneo mengi hayana umeme Hili shirika daaah
  6. kimsboy

    Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Je, ulipo kuna umeme? Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika. Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa...
  7. kimsboy

    Pamoja na safari zote Arabuni mafuta hayajashuka

    Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita maelezo na kutembelea uarabuni kila mwezi lakini mafuta hayajashuka The more kuzurura the more pain to...
  8. kimsboy

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻 https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  9. kimsboy

    Leo nimepanda daladala!! Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki?

    Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢 Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha...
  10. kimsboy

    Mwanamke azuia watu kwenda chooni kwenye ndege

    Habari na picha....Sema huyu mama kafanana na mtu mmoja hivi🤣🤣🤣🤣🤣 KENYA AIRWAYS flight number #KQ613 headed to Nairobi from Mombasa aborted landing at JKIA at the last minute. The plane was rerouted back to Mombasa after a Kikuyu lady passenger blocked the on board toilet causing massive...
  11. kimsboy

    US waitishia ICC kuwa hakuna kumkamata Netanyahu

    Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi? Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi? --- The US threatens the International Criminal Court in The Hague: "If you send an arrest warrant to #Netanyahu and his ministers, there will be no cease-fire" - Bloomberg...
  12. kimsboy

    Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

    Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
  13. kimsboy

    Tokea october 7 wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel wameuliwa na Hezbollah

    Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650 dhidi ya Israel https://twitter.com/PressTV/status/1783463849414295849?s=19 Hezbollah wenyewe...
  14. kimsboy

    Wanajeshi 18 wa Israel wauliwa na Hezbollah leo

    Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye kinamasi cha vita. 🚨🇱🇧🇮🇱 HEZBOLLAH statement on ISRAEL BOMBINGS: “After careful monitoring and...
  15. kimsboy

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  16. kimsboy

    Yemen yaiambia Iran: Tumeandaa wanajeshi laki 4 wapo tayari kwa vita

    [emoji298]️BREAKING The Yemenis have informed Iran that if there is a regional war, more than 400,000 fighters are ready to completely blockade the Red Sea and target US bases in Africa and the Middle East The Yemenis have recruited 200,000 new fighters since the start of the conflict...
  17. kimsboy

    Spika wa zamani wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi na wabunge 40 wataka silaha zisipelekwe Israel

    Baada ya wamarekani wenzao kuuliwa na Waisrael huko Gaza sasa ndo wameanza kuujuwa ubaya kuilea Israel Veteran House Representative Nancy Pelosi, former Speaker of the House of Representatives and a key ally of US President Biden, signed a letter sent by dozens of Democrats in Congress to the...
  18. kimsboy

    Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

    Masaa yanakaribia, Itakuaje Iran wakitumia makombora ya hypersonic kumbuka lile Kombora sifa yake huwa halitunguliki yana Speed kuliko sauti. Maana nimeona Israel anavyohaha kuweka raia kwenye mahandaki, leo ni siku ya nne watu wamelala kwenye mahandaki kama Panya!! Jamaa wanahaha kuactivate...
  19. kimsboy

    Masaa machache yajayo Mamia ya makombora ya Iran yatatua Telaviv

    Hawa jamaa wanamiliki makombora ya Hypersonic na Supersonic ambayo hata US hana Israel ajiandae kupokea mamia ya makombora kutoka Iran masaa machache mbeleni Pia Iran wanamiliki makombora yenye uwezo wa kubeba mabomu yenye uzito mpaka wa tani 3 Masaa kadhaa dunia inaenda kushuhudia moto...
  20. kimsboy

    US waiambia Iran kuwa hawakuhusika hofu ya kutandikwa na Iran

    Naona mabeberu wameanza kujikuna Marekani ametuma ujumbe wa siri kwenda Iran kuwa hawakuhusika na shambulizi dhidi ya ubalozi wa Iran pia hawakua wakijua chochote na Israel haikuwajulisha kwahiyo Israel iwajibishwe yenyewe!! [emoji298]️BREAKING Iran warned the United States, via the Swiss...
Back
Top Bottom