Search results

  1. N

    Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  2. N

    Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

    Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel International’s Senior Vice President Laurent Voivenel (centre) at the signing of a deal for the...
  3. N

    Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  4. N

    Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
  5. N

    Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  6. N

    Boomplay, Merlin waongeza mkataba wa leseni; sasa kuzifikia nchi 47 Afrika

    BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
  7. N

    Kayumba adondosha EP ya Sweet Pain

    Dar es Salaam, 18/11/2021; -NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Kayumba Asosie almaarufu 'Kayumba' ameachia rasmi Extended Playlist (EP) yake ya kwanza iliyobeba jina la ‘Sweet Pain’. EP hiyo imebeba ngoma sita za moto ambazo ni ‘Mapenzi Yanauma’, ‘Bombaa Remix ft Nadia Mukami’, ‘Baishoo’, ‘Move On...
  8. N

    Boomplay na capasso zatia saini kuendeleza makubaliano ya kimkakati

    JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI-App na jukwaa linaloongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay limeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama kinachosimamia hakimiliki za watunzi na waimbaji wa muziki (CAPASSO) ikiwa ni mkakati wa Boomplay kuendelea kupanua huduma zake...
  9. N

    Takwimu za Boomplay kuingizwa kwenye chati ya Billboard

    Dar es Salaam. Boomplay imetangaza rasmi kuwa, sasa itaingiza takwimu za wasanii wa Afrika katika chati maarufu za Billboard. Chati hizo ni kama Billboar Hot 100, Billboard 200, Artist 100 na Billboard Global 200, na pia chati zingine zote za Billboard Marekani na kimataifa ambazo zinajumuisha...
  10. N

    Tony Douglas appointed chief executive officer of etihad aviation group

    Tony Douglas, Group Chief Executive Officer, Etihad Aviation Group Abu Dhabi, UAE – The Chairman of Etihad Aviation Group, His Excellency Mohamed Mubarak Fadhel Al Mazrouei, today confirmed the appointment of Tony Douglas as Group Chief Executive Officer, who will join the company in January...
  11. N

    BoT sheds light on money flow

    Bank of Tanzania Governor, Professor Benno Ndulu, addressing a media conference yesterday in Dar es salaam to shed light on the country's economic performance.(left) is Director of Economic Policy and Finance Johnson Nyella. IN SUMMARY What we see is absence of cheap money obtained illegally...
  12. N

    Ripoti ya NSSF mikononi mwa Magufuli

    RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) inayohusu miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepelekwa kwa Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya kuipitia. ================================ =================================== RIPOTI ya Mdhibiti na...
  13. N

    TAKUKURU yafuatilia sakata la Panama Papers

    Wakati viongozi, wafanyabiashara na makampuni makubwa barani Afrika yakitajwa kwenye kashfa ya ukwepaji kodi ya Panama Papers, TAKUKURU imesema inafuatilia ripoti hiyo kubaini kama kuna Watanzania waliohusika. Kashfa hiyo inayoendelea kutikisa dunia inahusisha nyaraka zilizoibuliwa na mtandao...
  14. N

    Hakimu ‘feki’ atiwa mbaroni

    Alishatoa hukumu ya kesi nne na kuwasweka mahabusu watu kibao. ================================== MKAZI wa kijiji cha Kanyama Kata ya Bujora Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Erick Mkundi (23), ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kufanya kazi kama Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kongoro akiwa hana sifa...
  15. N

    Hiki ndicho kilichomkera Wassira na kumvamia mwandishi

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema kilichomfanya aamue kumvamia mwandishi wa gazeti la Mwananchi juzi ni kitendo cha kupigwa picha nyingi alizoona zimekithiri. Wasira, ambaye aliingia kwenye siasa mwaka 1970, alipigwa picha hizo wakati akitoka kwenye jengo la Mahakama Kuu, Kitengo...
  16. N

    Waziri muhongo aitaka TPDC na wabia kuongeza kasi katika uwekezaji wa kiwanda cha gesi kimiminika

    Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo ametaka kasi iongezwe katika mradi wa ujenzi wa kiwanda cha uchakataji na usindikaji wa gesi kimiminika unaotarajiwa kuanza mkoani Lindi mara baada ya taratibu za maandalizi kukamilika. Profesa Muhongo alisema hayo katika kikao kwa ajili ya kujadili...
  17. N

    Shirika la kimataifa la DKT lazindua "FIESTA CONDOMS" nchini Tanzania

    Meneja Masoko wa shirika la DKT International Tanzania Bw. Davis Kambi (Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa na shirika hilo wakati wa uzinduzi wa “Fiesta condoms” nchini Tanzania uliofanyika katika hoteli ya kitalii ya Ledger Plaza jijini Dar es...
  18. N

    I Will Rule Till God Says Come – Mugabe

    President Robert Mugabe yesterday launched a tirade against critics who say he has overstayed in power, vowing to hang on to power until he dies. Mugabe became AU chairperson in January 2015 amid pomp and fanfare, but local analysts and opposition groups say his term was a disaster. In his...
  19. N

    Ujio wa Pep Guardiola kumuondoa Yaya Toure Man Cty

    Wakala wa Yaya Toure Dimitri Seluk amedai kuwa mchezaji huyo ataondoka katika klabu ya Manchester city baada ya Pep Guardiola kuchukua jukumu la kuifundisha kablu hiyo. Toure na Guardiola walifanya kazi pamoja wakiwa Barcelona kati ya mwaka 2008 na 2010 kabla ya mchezaji huyo kuhamia England...
  20. N

    Rubani Gower alikufa kishujaa

    Dar es salaam, Wakati taratibu za kuusafirisha mwili wa rubani Rodgers Gower aliyeuawa na majangili zikiendelea, simulizi za aliyekua naye kwenye helikopta zimesema alikufa kishujaa baada ya kufanikiwa kuifikisha helikopta hiyo chini bila madhara makubwa kwa wenzake. Wakati hayo yakifahamika...
Back
Top Bottom