Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
3 Reactions
38 Replies
365 Views
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoanikilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi,nguli wa sheria Lissu anafutwa uanachama,kwakweli Wanachadema kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili mbowe ashike adabu yake. Hakika...
3 Reactions
49 Replies
559 Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
9 Reactions
151 Replies
1K Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
3 Reactions
74 Replies
1K Views
Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Mawasiliano: 0744252541 Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama...
1 Reactions
3 Replies
52 Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
88 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
16 Reactions
137 Replies
3K Views
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu. Mfano
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,997
Posts
49,586,587
Back
Top Bottom