Tigo pesa wananikata pesa bila mimi kuidhinisha. Nikiwapigia wanababaika.

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
360
555
Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu.

Mfano
Screenshot_20240510_182058_Messages.jpg

Screenshot_20240510_182646_Messages.jpg

Screenshot_20240510_182410_Messages.jpg


Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae.

Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
 
Utakuwa umekopa bila kujua,either wakati unatuma hela ikawa haitoshi hujaangalia kumbe ulishajiunga na bustisha ,sasa wanarudisha deni
 
Nitajitoaje..
Ingia google play store then kwwnye ile sehemu ya kusearch app kwa mbele yake kuna herufi ya jina lako, ibonyeze ile herufi baada ya hapo zitakuja options nyingi tu ila wewe ingia kwenye 'subscrible and payment' then ingia kwenye subscrible utaona hapo ulichojiunga nacho, kama kipo rudi tena hapa tuendelee na maelezo mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom