Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
1,730
1,152
Wanajukwaa habari zenu?

Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
 
Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi,nguli wa sheria Lissu anafutwa uanachama,kwakweli Wanachadema kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho,Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
utaporomoshewa mvua ya yale ya nguoni ya nguvu we subiri tu🤣
 
Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi,nguli wa sheria Lissu anafutwa uanachama,kwakweli Wanachadema kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho,Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
Eti ccm mkambaran anaongelea mambo ya chadema 😴😭🙄
 
Back
Top Bottom