Niliona taarifa yao kutokea tamisemi inayosema wanafunzi wanaotaka kuhama shule ama mchepuo walipoti shuleni walikopangiwa,kisha baada ya wiki mbili ama tatu ndio wanaweza kuomba uhamisho ama kubadilisha mchepuo uliopangiwa
juzi nilienda kariakoo nikakuta maduka ya vifaa vya umeme wapo wachina wanauza bidhaa zao,hao wachina wanapiga kiswahili kama wazaramo,ukiulizia kitu na ukataka kuondoka wanakuita na kukuuliza ulitaka kwa bei gani,ila nikajikuta nahitaji bulb 3 tu akaniuzia mwishowe akanishukuru sana kuja dukani...
ingekuwa miaka iyo uyo lecture muda huu hapo angebebwa kichwa chini miguu juu,ofisi ya makamu wa chuo Ffu washafika mlangoni wanamtoa kwa mlango wa dharura
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.