Search results

  1. Hajto

    Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

    juzi nilienda kariakoo nikakuta maduka ya vifaa vya umeme wapo wachina wanauza bidhaa zao,hao wachina wanapiga kiswahili kama wazaramo,ukiulizia kitu na ukataka kuondoka wanakuita na kukuuliza ulitaka kwa bei gani,ila nikajikuta nahitaji bulb 3 tu akaniuzia mwishowe akanishukuru sana kuja dukani...
  2. Hajto

    Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

    ingekuwa miaka iyo uyo lecture muda huu hapo angebebwa kichwa chini miguu juu,ofisi ya makamu wa chuo Ffu washafika mlangoni wanamtoa kwa mlango wa dharura
  3. Hajto

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    kwasie wabishi tunakesha nao mpaka kieleweke
  4. Hajto

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    mpaka hapa jumla ni 206 ukijumlisha na 4 na 6 tufanye 300 mbona ni wachache sana,ama hawa ni kwa ajili ya kwenda kuchakachua uchaguzi mkuu ujao nini
  5. Hajto

    The Cuban Banking system has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media that all their money is gone from their accounts

    Kitete kimeshaniingia,ngoja nikanunue shelf kubwa la kuhifazia hela niliweke ndani,kumbe bank usalama wa hela ni 50 kwa 100
  6. Hajto

    The Cuban Banking system has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media that all their money is gone from their accounts

    Hii ikijatokea hapa bongo kwetu tu ndio utakuwa mwanzo wa nchi yetu kuingia vitani
  7. Hajto

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Pole sana bro, inahuzunisha na pia inatuchekesha sana kwa sie ambao bado hatujaingia kwenye biashara.
  8. Hajto

    Ajira Jeshi la polisi

    habari zenu jamani,naomba kuuliza nimeona wale walioshia form 4 mwisho point 28,je nikawa na point 29 je nawza kuomba ama nipotezee tu kuomba
  9. Hajto

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    nimeona kigezo cha elimu mwisho 4 ya 28 je ukiwa na 29 unaweza ukaomba izo ajira
  10. Hajto

    Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

    kuna chakujifunza hapa
  11. Hajto

    Wasiolipa kodi ya pango la ardhi wapewa siku 30

    Nahisi itakuwa kwa vile viwanja vyenye hati miliki, ile ya kulipa kupitia luku ni wale wenye viwanja vya squata.
  12. Hajto

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    lazima atakuwa afande alijiongeza tu😂 😂 😂
  13. Hajto

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    hapa itakuwa kuna kidume muda huu kinafurahia sana ulivyomkacha mnyiramba wa watu,hasira hasara
  14. Hajto

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Marehemu hasemwi vibaya,mwenye kuhukumu ni ALLAH,tumuachie yeye Muumba wetu jukumu ilo
  15. Hajto

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    إِنَّا ِلِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ, ʾinnā li-llāhi wa-ʾinnā ʾilayhi rājiʿūna
  16. Hajto

    First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    ni kweli kabisa
  17. Hajto

    First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    Simba inatakiwa iwe na mtu mithili kama Marehemu Mzee mapama (Hans Pope) nje ya hapo Simba bado itatetereka sana,kidogo ambae namuona anaiyeweza kumfikia ni Kaburu nyange ama kidogo Magori,hawa nahisi wakiwepo pale simba itarudi kwenye ubora wake,Injiania Hersi iki anachokifanya ndicho...
  18. Hajto

    Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Hii si kauli nzuri wala ya kiungwana usemayo,watanzania wote hatujafikia hatua hii ya kusemana ivyo,Palipo na kosa tunasemezana kiungwana kwa kuelimishana
  19. Hajto

    Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

    kumbuka hadi hapo ulipofikia ni wengi uliwaacha nyuma na wewe ukasonga mbele,usikate tamaa mwamba
  20. Hajto

    CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

    Ukisikia kazi ya uwakili inalipa ndio kama ivyo,hapo wakili yakwake si chini ya mia anaisweka mfukoni
Back
Top Bottom