Recent content by hah

  1. hah

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Aje tuu tumnunulie Savanna na Saint Anna za kutosha###RahaDadaShemeji###
  2. hah

    Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

    Arsenal Bingwa!!
  3. hah

    Mwalimu Mwakasege: Hizi ni Nyakati za Mabadiliko makubwa ya Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi Duniani hatuwezi kukwepa!

    Sawa tuu hata wakina Nuhu walipitia mabadiliko na mabadiliko yakwepeki,,,Mabadiliko ndio muenendo wa Ulimwengu na Walimwengu,,,Mabadiliko ni Maisha kiujumla na vyote vinavyotuzunguka###TupoTayariKwaMabadiliko###
  4. hah

    Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    Usipende Sana kuwa Mtu Hovyoo!!
  5. hah

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Nipasie namba zake kama hutojali Dogoo!!
  6. hah

    Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

    Achana na maswala ya uchachukaji nakueleza tena kula kitimoto haswaa,,ukipata nafasi ya kula vinono kula mnoo hapa kwa Ulimwengu,,Shauri yako poteza mda kuchunguza ambayo hayachunguziki,,kuchachuka na ambayo Hayachachuliki ##Ufe##.
  7. hah

    Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

    Kula maisha achana na mambo ya Kuzimu!!
  8. hah

    Simba na Yanga warudiane

    Usipende kujisahau Sana kaka
  9. hah

    Wanaume Badilikeni Wanawake wameharibika Siku hizi,sio zamani.

    Nitajitahidi "Mimi",(Nafsi ya Kwanza Umoja)Ngeli ya Kwanza
  10. hah

    Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

    Bora Azam ameamua kutujali marefa wa mpira wa miguu kwa maana k vant zimetuua macho
Back
Top Bottom