Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Jehanamu haipo wala mbingu (pepo) haipo.

Uwepo wa jehanamu ni hadithi za kutungwa, kusadikika na kufikirika tu, Sawa na uwepo wa Dragons🐉 watemao moto midomoni mwao.

Jehanamu haijawahi kuwepo, haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Asante ,Kwa kuchangia mada,🙏

Ngoja tuwasubiri na wengine watasemaje,
 
Man Jau ,
DR Mambo Jambo
Rabbon

NAOMBA muje ,na mnisaidie kuwa tag watu wote ,wa mada za mambo ya kiroho ,

Waje kutowa mchango wao,

Naitaji huu uzi ,umalize ule utata ,tutoke na nibu Moja,

Je,Ziwa la moto ni la Milele au sio la Milele?

NaAdhabu zake humo ,kwenye Ziwa la Moto, ni za Milele au si za Milele?
 
Umeuliza as if Kuna marehemu ambao walishakufa halafu wakaenda huko mbinguni wakayakuta ya kuyakuta then wakarudi duniani 🤒😎
Inaonekana hili Dubwana JEHANAM SIO ZA LEVEL ZAKO,

MAANA ,CODE ZAKE ZINAFUNGULIWA KIIMANI,

ILO DUBWANA LINATAKA MAELEZO YA KIIMANI ZAIDI, NA WALIO NA IMANI WATALIPOKEA,

MAANA HATA CODE ZAKE ZIMEKAA KIIMANI NA ZIKIFUNGULIWA CODE HUMU, WATAO ELEWA NA KIPOKEA NI UZAO WA IMANI,

EBWANA HILO DUBWANA ZIWA LA MOTO LIPO ,

NACHO TAKA KUJUA ZAIDI ,NI JE LA MILELE AU SIO LA MILELE
 
Inaonekana uko interested sana na story za uongo na kweli...!!!!? 🤒 😎
 
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,

Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,

Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,

Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,

Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,

Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,

Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,

Nawasilisha,
Karibuni,
Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
 
Man Jau ,
DR Mambo Jambo
Rabbon

NAOMBA muje ,na mnisaidie kuwa tag watu wote ,wa mada za mambo ya kiroho ,

Wake kutowa mchango wao,

Naitaji huu uzi ,umalize ule utata ,tutoke na nibu Moja,
Je,Ziwa la moto ni la Milele au sio la Milele?
NaAdhabu zake humor ni za Milele au si za Milele?
MAUTI YA KWANZA.
Ni mtu anapokufa, mwili hubaki kaburini, Yeye hupelekwa kutunza Mahali temporary ( KUZIMU) ni Kwa wale watenda dhambi, wasiookoka, ambao Majina Yao hayapo kitabu Cha Uzima, ni wale wasio na ALAMA ya Mungu katika paji za nyuso zao.

MAUTI YA PILI.

Hii ni pale Yesu ataporudi mara ya pili na kuuhukumu Ulimwengu.

(Ufunuo 20:14-15)

MAUTI na kuzimu vitatupwa katika ziwa la Moto( JEHANUM). Hiyo ndiyo MAUTI ya pili, yaani MAUTI na kuzimu kutupwa katika ziwa la Moto Kwa watenda dhambi, wasioandikwa Majina Yao katika kitabu Cha Uzima.

Hadi tunavyoongea nw, Ziwa la Moto halijaumbwa Bado, Hadi muda ufike.

CONCLUSION.

Kuzimu ni temporary, gereza la muda.

JEHANUM ni gereza la milele.

Ubarikiwe.

Pia soma thread: Live Kutoka kuzimu - Rabbon, Kwa uelewa zaidi.
 
Man Jau ,
DR Mambo Jambo
Rabbon

NAOMBA muje ,na mnisaidie kuwa tag watu wote ,wa mada za mambo ya kiroho ,

Wake kutowa mchango wao,

Naitaji huu uzi ,umalize ule utata ,tutoke na nibu Moja,
Je,Ziwa la moto ni la Milele au sio la Milele?
NaAdhabu zake humor ni za Milele au si za Milele?
Katika Uyahudi na Dini ya Kiyahudi Ambayo inatunza Agano la kale Hakuna Jehanamu yoyote..
 
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,

Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,

Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,

Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,

Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,

Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,

Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,

Nawasilisha,
Karibuni,
Kwamba unajiandaa ukakae kwenye ziwa la Moto Kwa Muda machache halafu uende ukale Raha Peponi?
 
Lusungo 🤣🤣 nilihisi ni wewe ndio umeandika hii thread

Hili Dubwana, JEHANAM, Haliitaji kicheko ,linaitaji majozi,

JEHANAM , Chakula chake ni Machozi ,

Halinaga Show mbovu Hilo Ziwa la Moto ,
Siku hio mbona wataelewa show yake,

Tuujadili kabisa,Ili mtu akitenda ajijue kabisa ni WA Milele au ni Muda tu adhabu itaisha,
 
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,

Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,

Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,

Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,

Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,

Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,

Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,

Nawasilisha,
Karibuni,
heaven & hell are just states of mind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom