African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 13
- 41
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.
Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?
Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na ukubwa wote alionao utukufu na Enzi lakini bado kikatokea kiumbe kumchallenge in short shetani alitaka kumpindua MUNGU hili yeye ashike ile nafasi, na hapa unapata picha ni jinsi gani shetani alivyo na power.
Mwenyezi mungu anamshinda shetani, then anampa adhabu ya kumtupa chini, just imagine power aliyonayo shetani then analetwa kwetu viumbe dhaifu ndio tushindane naye, kwanini mwenyezi mungu asnigemua kabisa shetani au angemtupa katika sayari nyingine kabisa na kunyima access na huu ulimwengu wetu.
Mimi binafsi sidhani kama kuna MUNGU aliyemuumba bnadamu then ampe adhabu ya kumchoma moto, Mungu ni matokeo ya mawazo ya watu wachache na kuwalazimisha watu wengine kuamini hivyo.