Wadudu Arusha wamuahidi RC Makonda Uwanja utajaa Siku ya Mei Mosi na Rais Samia atafurahi

Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Arusha ina vibweka sana, vijana wanaojiita wadudu, hatari sana wangemaliza kabisa "wadudu weusi"
 
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Sasa hao wadudu wanaenda kufanya nini wakati ni sikukuu ya wafanyakazi.
Bashite bhana
 
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Bila shaka ni kina kenyenyo wa kizazi OG 🤣
 
May mosi ni siku ya wafanyakazi, sasa hao wadudu (majobless) wanakwenda kuujaza uwanja ili iweje!? Au ndo wenyewe wanakwenda kupewa allowance ya ganja
 
Back
Top Bottom