Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Arusha ina vibweka sana, vijana wanaojiita wadudu, hatari sana wangemaliza kabisa "wadudu weusi"
 
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Sasa hao wadudu wanaenda kufanya nini wakati ni sikukuu ya wafanyakazi.
Bashite bhana
 
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Bila shaka ni kina kenyenyo wa kizazi OG 🤣
 
Wakati tetesi za Uteuzi wa Paul Makonda kwenye nafasi ya Ukatibu Mwenezi wa CCM zilipoibuka na uzi wake kuwekwa humu JF, Nakumbuka Mimi nilitoa comment kwamba "Naomba Mungu habari hii iwe kweli ili kuharakisha Anguko." Nafikiri wahusika walikuwa hawajanielewa, matokeo yake kweli Makonda aliteuliwa, na hatimaye ndani ya kipindi kifupi kabisa akasababisha mtikisiko mkubwa sana kwenye Chama Chao hadi kupelekea Katibu mkuu wao kujiudhuru.

Wananchi wenzangu tukubali ukweli mchungu kwamba Paul Makonda ni mtu asiyefaa kuongoza binadamu, hana hata sifa moja ya kuongoza watu.

Isitoshe, kwa Sasa hapa nchini Tanzania amekuwa ndiye Mkuu wa Mkoa mbumbumbu zaidi kuliko wenzake wote, Rais anapaswa kuondokana naye kwa kumuweka kando.

Kama Rais anaona kwamba haitawezekana kabisa kumuweka kando kutoka ktk Serikali yake, basi amteue Paul Makonda kuwa Balozi na amtume kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mataifa ambayo Sera zake ziko against na nchi ya Marekani na washirika wake kama vile nchi ya Korea ya Kaskazini, Myanmar (Burma), Belarus, n.k.
Yaani Mpumbavu apewe Ubalozi kutuwakilisha Watanzania Werevu akina GENTAMYCINE na Wenzake? Uko serious?
 
May mosi ni siku ya wafanyakazi, sasa hao wadudu (majobless) wanakwenda kuujaza uwanja ili iweje!? Au ndo wenyewe wanakwenda kupewa allowance ya ganja
 
Yaani Mpumbavu apewe Ubalozi kutuwakilisha Watanzania Werevu akina GENTAMYCINE na Wenzake? Uko serious?
Never underestimate the power of FOOLS when they're in the large number, because they can elect one of their own to rule.

Je, umeshawahi kujiuliza kwamba mtu huyu aliwezaje kuteuliwa kushika wadhifa alionao hivi Sasa licha ya umbumbumbu wake alionao?
 
Kwasababu aliaminiwa na bado anaendelea tu Kuaminiwa na Wapumbavu wenzake.
 
Back
Top Bottom