SoC03 Ushoga, Usagaji na Talaka, wanawake rudini katika misingi ya kulea familiya kama jukumu mlilopewa na Mungu

Stories of Change - 2023 Competition

Fannjosh

Member
May 28, 2016
35
46
UTANGULIZI

Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi.

Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata katika jamii zetu. Pia tunaona kwamba majanga haya yanaongezeka kwa kasi sana na lengo kubwa ni kutengeneza kizazi cha ovyo kuanzia kwa Watoto wadogo ili waanze kujifunza mambo ya ovyo mapema na wakiwa watu wazima waone kuwa ni mambo ya kawaida.

Kwa mfano: Kwa utafiti mdogo niliofanya mimi mwenyewe, nilibaini kuwa, baadhi ya wanawake wanaona talaka ni jambo la kawaida sana na hawaoni shida kuingia kwenye ndoa na kutoka muda wowote. Wamesahau kuwa, kuvunja ndoa ni kitu kibaya na hatari kwa Familiya na Jamii kwa ujumla. Hii ikapelekea nikumbuke maneno haya....

"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe."

Hakika mwanamke ana jukumu kubwa sana la kulinda na kujenga nyumba yake, kuanzia kwa watoto wake, mume wake na wote walio katika nyumba yake.

Siku hizi akina mama wengi wametoka katika MSINGI huu wa kujenga nyumba zao na kuanza kuzibomoa kwa tabia na mienendo yao mibovu. Wengi wamekuwa na dharau kwakuwa wana elimu, pesa au vyeo kuzidi waume wao. Wengine wamekuwa bize sana kuliko waume zao na kukosa kabisa muda hata kidogo wa kukaa na watoto ili kuwafundisha maadili mema.

MFANO:
  • Mwanamke hakumbuki siku aliyopika chakula cha Mume wake.
  • Mwanamke hakumbuki lini kafua nguo za Mume wake hata mara moja kwa wiki.
  • Baadhi hawakumbuki lini wametandika vitanda wanavyolala na waume zao
Akina mama! Muda umefika rudini katika misingi ya utiifu na unyenyekevu katika ndoa zenu ili kupunguza Talaka zisizo za lazima.

Hata kama mke una mali nyingi kuzi mume, hata kama una fedha kuzidi mume, hata kama una elimu kuzidi mume, hata kama una vyeo kuzidi mume, tambua wewe ni mwanamke unapaswa kumpa mwanaume kile anacho stahili na kutoa muda wako katika kulea ndoa au familiya yako.

Pia, mwamke akumbuke kuwa ana jukumu kubwa la kuwa mlezi mkuu wa Familiya yake ili kuhakikisha anatengeneza kizazi bora.
Siku hizi baadhi ya wanawake hawapendi tena kazi hii ya kulea watoto badala yake hutumia muda mwingi sana katika kazi zinazowaweka nje ya nyumba zao kuanzia asubuhi hadi usiku.

Hali hii husababisha watoto wadogo kulelewa na wajakazi wa ndani pamoja na shule wanazosoma. Mbali zaidi.. baadhi wamethubutu kupeleka hadi watoto wenye mwaka mmoja wakae shuleni ili wao waendelee na kazi zao. Matokeo yake mtoto hapati tena malezi bora ya mama yake bali anapata malezi machafu na kujifunza tabia chafu pale anapolelewa na watu wenye nia mbaya.
  • Mtoto anamwona mama asubuhi hadi asubuhi inayofuata
  • Mtoto hakumbuki lini amepewa mafundisho ya kidini na mama yake.
  • Mama hakumbuki lini amesikiliza changamoto za mtoto wake.
Hayo yote huchangia kukosekana kwa maadili mema kwa mtoto na mwisho wake mtoto anaweza kuingia katika makundi mabovu ikiwemo ushoga na usahaji.

HITIMISHO
Ingawa malezi ni jukumu la wazazi wote yaani baba na mama, ila akina mama mnajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wenu wanapata malezi bora. Fanyeni kazi ila kumbukeni nyumba inajengwa na kubomolewa na akina mama.

Akina mama rudini katika misingi mizuri ya familiya ya kulea ndoa zenu na watoto wenu ili kupunguza mmomonyoko wa maadlili na talaka zisizo za lazima katika jamii.

NB: Akina baba pia tambueni ninyi ni vichwa vya familiya, hivyo wajibikeni kikamilifu katika kuhudumia familiya na kufatilia mienendo ya watoto wenu.

Asante msomaji kwa kusoma hadi mwisho wa chapisho hili. Tafadhari bonyeza Vote hapo chini kama umependa chapisho.
 
Wanawake wasomi Ndio wale wanaozakishwa Kule UDOM.
Hatari na nusu.
Watunga Sheria za maadili na ujenzi Wa familia Bora ndio wale waliofuata Posho pale Dodoma ?
Hatari mbili kamili.

Ni neema ya Mungu iliyobaki.
Ukisoma Historia utagundua kuwa Dunia hili haijawahi kuishi viumbe vya aina Moja Kwa Muda Mrefu. Viumbe vyote vilivyowahi kuishi Duniani vilikua vinateketea baada ya Muda Fulani. Kizazi kitakachokaa Kwa muda mfupi sana kitakua ni Cha viumbe waliopo Duniani Kwa Sasa kutokana na kuwa na maarifa madogo sana ya mambo ya kiroho na Siri ya uumbaji pamoja na Siri ya uhai lakini vikiwa vinaishi na binadam mwanye maarifa makubwa sana ya sayansi na Teknolojia ya KUONEKANA Kwa macho lakini ya muda mfupi. Yaani Kila kitu anachotengeneza binadam Wa Sasa ni cha muda mfupi.

Katika Mabadiliko ya binadam Wa Sasa ,Mwanamke ndiye akiyesababisha Kila tukio linaloonekana Leo liwe baya au Zuri.
Mwanamke ndiye aliyemshawishi Adam aachane na kuishi maisha ya Peponi kumtegemea Mungu Badala yake akataka kuwa Huru Sawa na Mungu.
Binadam akalaaniwa Kwa kumsikiliza mwanamke na kuzaa mtoto mkaidi asiye na maadili.

Ilitokea wakati Fulani Walikuja viumbe wengine Toka kusikojulikana wanawake wakawatelekeza waume zao na kweda kuzaa na Hao viumbe na kupatikana viumbe Wa ajabu walioitwa majitu. Kama ilivyo leo wanawake wametelekeza familia zao kutokana na Kiti kinachoitwa pesa na Teknolojia.
Tamaa ya waawake Kutoka kwenye maadili ikazalisha viumbe Wa ajabu wasio na maadili.

Wakati Wa Nabii Nuhu watu waliteketea akabaki Nuhu na watoto wake Wa kike . Kwa Maana kuwa uzao Wa binadam ulipaswa kukoma pale . Dunia ianze upya . Wanawake wakamlewesha Nuhu na Kulala naye ili kizazi Cha binadam kisipotee. Uzao ukaanza lakini Kwa njia Haram hivyo wskaendelea kuzaliwa watoto wasio na maadili mana ni Watoto Haram.

Wakati Wa Ibrahim Sara alimshawishi Ibrahim azae na Hausi Geli. Ibrahimu alipaswa kukataa. Ibrahim akakubali Japo alikaa miaka zaidi ya mia na hakuwahi kuwaza kuwa achepuke Ili apate mtoto. Ibrahim Alikua Mwanaume mwaminifu sana Lakini akalashawishiwa na mkewe kuchepuka. Likawa Jambo la Heri Kwani alipata mtoto.Mwanamke akafanya Jambo la Heri. Baadae Mwanamke huyo huyo alipopata mafanikio ya kupata mtoto alimlazimisha Ibrahim amfukuze Yule mtoto aliyemshawishi Ibrahim azae na Hausi geli. Mwanamke akafanya Jambo baya lililojenga Kizazi chenye uhasama mpaka Leo.

Wakati Wa Sodoma na Gomora wanaume walipovunja maadili maadili waliteketezwa Kwa moto akabaki Ibrahim na nduguye Lutu . MKE Wa Lutu Naye akapotea Kwa tamaa ya Kurudi Sodoma na Gomora palikokuwa na Kila aina ya starehe na matendo machafu ya zinaa.
Kizazi kikaendelea.
Lutu alifaulu mtihani na kuendelea kuishi baada ya kugoma kugeuka Nyuma na kumfuata MKE wake aliyeasi maelekezo ya Mungu. Endapo Nuhu angemsikiliza Mkewe wakageuka Nyuma basi maisha yake yangeishia pale. Historia ya Dunia na watu wake wanakwenda kufikia tamati muda SIO Mrefu kutokana na wanaume kukubali kuwekwa chini ya maelekezo na utawala wa wanawake na kupingana na maagizo ya Mungu.

Akaja Isaka aliyempenda Esau. Akataka kumbariki . Mwanamke akafanya njama na Hila na kumpa urithi na Baraka Yakobo. Mwanamke akamfundisha mtoto wake ulaghai na akazaa Kizazi kilichojaa Hila mpaka Leo.Mwanamke akabadili hulka na madili ya utii na uaminifu katika Jamii . Kila kitu kizuri kikawa kinapatikana Kwa hila na uongo uongo kama alivyopata Yakobo Kwa Msaada Wa mama yake.

Akaja MTU aliyeitwa Somsoni. Huyu alikua ni Mwanaume mwenye Nguvu kuliko Kifaru cha Jeshi aliyeweza Kupiga nchi Kwa mikono yake mwanyewe na kumkamata Simba kama mbuzi. Lakini historia yake na uhai wake ukakatishwa na Mwanamke aliyeitwa Delila.

Lakini hongera Kwa Mwanamke aliyeitwa Mariam mama yake Yesu.
Huyu ni Mwanamke pekee Duniani asiyekuwa na Hila . Huyu ndiye Mwanamke aliyebarikiwa kuliko Wanawake Wote waliowahi kuwepo Duniani . Alikua ni mwaminifu na hakuwa na dhambi . Huyo akatumiwa na Mungu kumleta Yesu Duniani . Lengo la Mungu ni kumleta Yesu asiyetokana na Kizazi Cha Yakobo kilichojaa Hila . Kizazi cha Yakobo kikakoma katika kuwaleta wafalme ,manabii na mitume. Akazaliwa MTU mkamilifu aliyestahili kuishi Mbinguni na Duniani. MTU mkamilifu kulika Adam . Akaitwa mwana Wa Adam na mzaliwa Wa Kwanza baada ya kufufuka . Huyu ni ishara ya kufufuliwa Kwa wafu. Huyu ni Mwanaume mkamilifu asiyetokana na mwendelezo Wa Kizazi cha hila na alilelewa na Mwanamke asiyekuwa na dhambi .
Ubora Wa Watoto unatokana na Mwanamke Bora.
Mariam ni Mfano Wa Mwanamke Bora sana, alipata mtoto Bora sana aliyeshinda Kifo na mauti , Yesu Kristo.

Watoto Wa Kizazi cha leo wanapotoka kutokana na kuwa na wanawake (wamama) wasio na maadili.
 
Bonge la article
 
Ukimuacha Mungu nae anakuacha watu wameacha misingi ya kuwaongoza tutegemee mengi
 
Me nadhani ni muda sasa wanaume wajitafakari aina za wanawake wanaoamua kupata nao watoto. Sio unakutana na mwanamke hata haujamjua vema historia yake, tabia zake, mwenendo wake, familia anayotokea, mama yake yupoje, unaruka moja kwa moja na kuzaa nae then akianza kukuonyesha makucha unalalamika.

Mnawapa shida sana watoto aisee. Wakati unalala na mwanamke acha kujifikiria wewe tu upate demu mkali au mtamu wa kufanya nae ngono unasahau kuwa huyo unaelala nae pia unatakiwa uwazie mama wa mtoto au watoto wako.

Angalia usiishie katika kujifurahisha tu wewe bali uwatazame na watoto wako wanapata mama wa aina gani.
kweli unazani malez mazur utayapata kwa mama ambae kila kitu mwilini mwake ni bandia ,,,kucha bandia ,,kope bandia,,,nywele bandia ,,shape bandia apo ata uzae nae malaika lazima na mtoto atakua na tabia bandia mambo yameharibika baada ya umagharibi kuushikilia
 
UTANGULIZI

Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi.

Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata katika jamii zetu. Pia tunaona kwamba majanga haya yanaongezeka kwa kasi sana na lengo kubwa ni kutengeneza kizazi cha ovyo kuanzia kwa Watoto wadogo ili waanze kujifunza mambo ya ovyo mapema na wakiwa watu wazima waone kuwa ni mambo ya kawaida.

Kwa mfano: Kwa utafiti mdogo niliofanya mimi mwenyewe, nilibaini kuwa, baadhi ya wanawake wanaona talaka ni jambo la kawaida sana na hawaoni shida kuingia kwenye ndoa na kutoka muda wowote. Wamesahau kuwa, kuvunja ndoa ni kitu kibaya na hatari kwa Familiya na Jamii kwa ujumla. Hii ikapelekea nikumbuke maneno haya....

"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe."

Hakika mwanamke ana jukumu kubwa sana la kulinda na kujenga nyumba yake, kuanzia kwa watoto wake, mume wake na wote walio katika nyumba yake.

Siku hizi akina mama wengi wametoka katika MSINGI huu wa kujenga nyumba zao na kuanza kuzibomoa kwa tabia na mienendo yao mibovu. Wengi wamekuwa na dharau kwakuwa wana elimu, pesa au vyeo kuzidi waume wao. Wengine wamekuwa bize sana kuliko waume zao na kukosa kabisa muda hata kidogo wa kukaa na watoto ili kuwafundisha maadili mema.

MFANO:
  • Mwanamke hakumbuki siku aliyopika chakula cha Mume wake.
  • Mwanamke hakumbuki lini kafua nguo za Mume wake hata mara moja kwa wiki.
  • Baadhi hawakumbuki lini wametandika vitanda wanavyolala na waume zao
Akina mama! Muda umefika rudini katika misingi ya utiifu na unyenyekevu katika ndoa zenu ili kupunguza Talaka zisizo za lazima.

Hata kama mke una mali nyingi kuzi mume, hata kama una fedha kuzidi mume, hata kama una elimu kuzidi mume, hata kama una vyeo kuzidi mume, tambua wewe ni mwanamke unapaswa kumpa mwanaume kile anacho stahili na kutoa muda wako katika kulea ndoa au familiya yako.

Pia, mwamke akumbuke kuwa ana jukumu kubwa la kuwa mlezi mkuu wa Familiya yake ili kuhakikisha anatengeneza kizazi bora.
Siku hizi baadhi ya wanawake hawapendi tena kazi hii ya kulea watoto badala yake hutumia muda mwingi sana katika kazi zinazowaweka nje ya nyumba zao kuanzia asubuhi hadi usiku.

Hali hii husababisha watoto wadogo kulelewa na wajakazi wa ndani pamoja na shule wanazosoma. Mbali zaidi.. baadhi wamethubutu kupeleka hadi watoto wenye mwaka mmoja wakae shuleni ili wao waendelee na kazi zao. Matokeo yake mtoto hapati tena malezi bora ya mama yake bali anapata malezi machafu na kujifunza tabia chafu pale anapolelewa na watu wenye nia mbaya.
  • Mtoto anamwona mama asubuhi hadi asubuhi inayofuata
  • Mtoto hakumbuki lini amepewa mafundisho ya kidini na mama yake.
  • Mama hakumbuki lini amesikiliza changamoto za mtoto wake.
Hayo yote huchangia kukosekana kwa maadili mema kwa mtoto na mwisho wake mtoto anaweza kuingia katika makundi mabovu ikiwemo ushoga na usahaji.

HITIMISHO
Ingawa malezi ni jukumu la wazazi wote yaani baba na mama, ila akina mama mnajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wenu wanapata malezi bora. Fanyeni kazi ila kumbukeni nyumba inajengwa na kubomolewa na akina mama.

Akina mama rudini katika misingi mizuri ya familiya ya kulea ndoa zenu na watoto wenu ili kupunguza mmomonyoko wa maadlili na talaka zisizo za lazima katika jamii.

NB: Akina baba pia tambueni ninyi ni vichwa vya familiya, hivyo wajibikeni kikamilifu katika kuhudumia familiya na kufatilia mienendo ya watoto wenu.

Asante msomaji kwa kusoma hadi mwisho wa chapisho hili. Tafadhari bonyeza Vote hapo chini kama umependa chapisho.
Ushoga ulikuwapo tangu enzi za wanawake ni mama wa nyumbani, halihusiani moja kwa moja na uhuru wa mwanamke

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Safi sana ndugu

Back
Top Bottom