Tunapambanaje na gayizm(ushoga)

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
147
318
Wana JF, Leo nachokileta mbele yenu kilianzia kwenye thread yangu iliyo pita baada ya jamaa mumoja kwa jina la hah kukoment Mambo ambayo ukitazama vizuri ni kuwa jamaa huyo anasapoti ushoga. Na leo nataka nielezee kwa uchache sababu za ushoga na namna ambayo tunatakiwa kufanya kuepuka swala zima la ushoga.

UZEMBE WA WAZAZI KWA MALEZI YA WATOTO,
Kiukwel kabisa ili maisha yasonge inabidi kujishughulisha na harakati mbali mbali, Lakini sasa harakati hizo zinatufanya wazazi tunashindwa kufatilia maendeleo ya ukuwaji wa watoto, mtoto anapokuwa mtaani kuchezea na wenzie Kuna mambo mengi anapitia nikisema hivyo kila mtu kasha pitia utoto nadhan anaelewa nachonmaanisha hapa,(mfano mchezo wa kibaba na mama) mtoto anaweza ingiliwa kinyume na usijuwe maana unarud usiku unakuta kasha lala na unaondoka mapema sana ikitokea anafanyiwa mara mbili maratatu mwisho wa siku ananogewa na anakuwa muhanga wa hilo swala na end of the day anakuwa kashakuwa shoga.

BOARDING SCHOOL(SHULE ZA BODING)
Unakuta mtu anajisifia sana mwanae yupo boarding bila kujuwa changamoto za boarding schools hasa hasa Government school, kule uonevu ni mwingi na kulawitiana kupo hata Kama ni kwa asilimia ndogo lkn inakuwa kadri siku zinavyozidi kwenda. Mfano nina mwanangu nilisoma nae nilimaliza nae kidato cha nne alikuwa ni mtumishi kabisa na ukimcheki ndotozake ninkuja kuwa pastor ila sasa ndoto za upastor zimeyeyuka, pia amebadilika hata story anazopenda kupiga ni story za same sex tuu.

PICHA ZA NGONO KWA WASIO NA WAPENZI,
Hii unakuta vijana wawili wakiume au wakike wanatazama pornography kwa simu, tv, laptop au jarida la ngono, alafu hapo wako pekeyao wawili tuu ndani jinsia moja ke au me unadhani kinachotokea hapo ni nini,

Zipo sababu nyingi ambazo husababisha ushoga kuzidi kuenea ambazo hutokea kila siku Kama movies zenye maudhui ya ushoga ndani yake Kama vile #All American's, #The chi, #Banshee nk.

Hiyvo ili kuudhibiti ushoga inahitajika kuanzia kwenye shina ambapo ni Kama nilivyo eleza hapo juu, tunatakiwa kuanzia kwa watoto kupewa elimu juu ya madhara ya ushoga, maana tukiwatengenezea watoto wetu Hali ya kuukataa tangu utotoni tunakuwa tumeng'oa mizizi ya ushoga kabisa.

=> Ikiwa wewe ni mTanzania na unafanya huo ufuska kwanza kabisa nafsi inabidi ikusute unatakiwa uone aibu, pambana na hiyo hali achana nayo.
 
Boarding school hasa za serikali zitoe hapo. Kwa tuliosoma bweni tutakupinga. Unaweza haribika.tabia ila sio kwa wanaume wawili kuchunjana.

Ukiona mtu kaenda bweni alafu kawa shoga jua alikuwa shoga tangu hajaenda, kule labda mtashindana kupiga nyeto na kukitupa mbali, ila sio kugeuzana.
 
Mkuu mm mwenyew nimesoma boarding... Nina experience nimeona sana
 
Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa mashoga
_________________________

Swala hata awe na njaa vipi, hawezi kula nyama.

Hebu chukua hizi dozi 24 uwaanzishie watoto wako wa kiume uone kama utakosa riziki. Mtoto shoga siyo riziki tena!

Dozi ya 1

Mwanao wa kiume akija nyumbani akasema kuna msichana anamsumbua kila siku, anasema anampenda mchape viboko vingi.

Dozi ya 2

Mfundishe mtoto wako wa kiume mfumo dume japokuwa dunia inaulaani. Mwambie yeye ni mtawala popote aendapo! Mfumo dume ni mpango wa Mungu maana hata vitabu vitakatifu vinautukuza.

Dozi ya 3

Msisitize mwanao ajue yeye ni wa kiume na aachane na michezo ya kike. Ukimuona anacheza position ya kike kwenye michezo ya utotoni mchape sana.

Dozi ya 4

Mmezeshe mwanao wa kiume sumu ya kuchukia kuguswa hata kidogo na mwanaume mwenzake. Mwanaume atakayemgusa amuwakie.

Dozi ya 5

Mpige marufuku mtoto wako wa kiume kupaka mafuta yenye picha ya kike. Mlishe sumu kuchukia tabia ya kuwa na mafuta tofauti tofuati, mafuta ya kucha, nywele, ngozi, uso na poda kwa mbali. Mwambie ikiwezekana apake hata korie asepe😀😀

Dozi ya 6

Mfundishe mtoto wako wa kiume kuwa ngangari, kutolia akianguka na kuumia. Hata maji ya kuoga mwambie wanaume wanaoga maji ya baridi😀😀😀! Na wanaoga usiku tu baada ya kazi!🫢🫢🫢

Dozi ya 7

Mlishe sumu mwanao wa kiume ya kuacha kula kula vitu laini, ale vigumu, siku nyingine apige ugali bila mboga! Agonge mahindi ya kuchoma, miwa, karanga na akimaliza afute mdomo na kushushia maji ya baridi aende darasani.

Dozi ya 8

Mtengenezee mazingira ya kuchukia kukaa jikoni na mama yake na kupikapika. Hata moto asiote na dada zake wakati wa baridi. Akoke moto wake nje!

Dozi ya 9

Akioga asikubali kujifutia kanga ya mama yake. Hata kujifunga kanga kwenda kuoga mwambie no.

Dozi ya 10

Mlishe sumu mwanao wa kiume popote anapokwenda asikubali kulala na wageni wa kiume. Na aachane na tabia za kuomba anunuliwe nguo za kulalia!😀😀

Dozi ya 11

Mwambie mtoto wako wa kiume akiitwa majina ya kubebishwa na kukumbatiwa kumbatiwa akatae. Mwambie yeye siyo baby boy, yete ni mwanaume. Sisi tulifundishwa hivyo Milambo Sekondari. Tulifundishwa kujiita wanaume.

Dozi ya 12

Mwambie mtoto wa kiume marufuku kudeka. Akipigwa asilie. Akaze meno. Akija nyumbani analia mchape ili anyamaze.

Dozi ya 13

Ukimkuta mtoto wako wa kiume jikoni anasugua masufuria na kukuna nazi mpige. Mbinuko wa kukuna nazi kwa mtoto wa kiume hauna mwisho mwema!

Dozi ya 14

Mtoto wako akivaa suruali inayobana halafu fupi mpe mboko nyingi. Hata mlegezo mpe bakora.

Dozi ya 15

Mpe mtoto wako wa kiume pocket money na usimuulize aliitumia kufanya nini. Kikubwa mfundishe kwamba mwanaume halisi hulipa bili, halipiwi bili.

Dozi ya 16

Mtoto wako wa kiume akianza kutumia maneno kama jamoni,thatha, na kuongea anabana sauti mpe mboko za kutosha.

Dozi ya 17

Mtoto wako wa kiume akianza kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzake mpige aisee!

Dozi ya 18

Mtoto wa kiume kulilia afanyiwe birthday kama dada zake hapana.Akililia mpige. Ukiona ameandika my birthday is loading mpe viboko!

Dozi ya 19

Ukiona mtoto wako wa kiume anaangalia tamthilia badala ya mpira, mieleka, mbio za magari na taarifa ya habari mpe makofi ya mgongoni.

Dozi ya 20

Ukiona mtoto wako wa kiume kitu kidogo anacheka mpaka anakaa chini mpe mabanzi. Lakini akiwa mtu wa kuzira na kususa mtandike pia. Mwambie mwanaume hasusi!

Dozi ya 21

Ukiona mwanao wa kiume anacheza muziki kwa kuzungusha mauno kama feni na kuinua vidole juu na ulimi nje mpe fimbo nyingi.

Dozi ya 22

Marufuku mtoto wa kiume kukaa geti kali. Mfundishe ubabe. Mwambie mwanaume halisi hashindi nyumbani, anashinda kazini. Mpe kazi za kufanya nje ya nyumbani!

Dozi ya 23

Ukisikia mtoto wako wa kiume analalamika kwamba watoto wa kike wanamuomba hela mtandike halafu mwambie mtoto wa kike lazima atunzwe😀😀.

Dozi ya 24

Ukiona mtoto wako wa kiume anawaomba hela wadada mtandike sana, ikiwezekana siku hiyo alale njaa.

Jaribu hizi dozi uone kama hujaisaidia jamii kwa kutuongezea wanaume wa nguvu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
C&p
 
kwa ujumla kizazi cha sasa hakina uoga wa lolote, yeyote wala chochote wanajaribu kila kitu na hauwezi waambia kitu.

mbali na huo ushoga kuna wimbi kubwa la mabinti kupenda kuingiziwa kusiko ruhusiwa.
 
Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa mashoga
_________________________

Swala hata awe na njaa vipi, hawezi kula nyama.

Hebu chukua hizi dozi 24 uwaanzishie watoto wako wa kiume uone kama utakosa riziki. Mtoto shoga siyo riziki tena!

Dozi ya 1

Mwanao wa kiume akija nyumbani akasema kuna msichana anamsumbua kila siku, anasema anampenda mchape viboko vingi.

Dozi ya 2

Mfundishe mtoto wako wa kiume mfumo dume japokuwa dunia inaulaani. Mwambie yeye ni mtawala popote aendapo! Mfumo dume ni mpango wa Mungu maana hata vitabu vitakatifu vinautukuza.

Dozi ya 3

Msisitize mwanao ajue yeye ni wa kiume na aachane na michezo ya kike. Ukimuona anacheza position ya kike kwenye michezo ya utotoni mchape sana.

Dozi ya 4

Mmezeshe mwanao wa kiume sumu ya kuchukia kuguswa hata kidogo na mwanaume mwenzake. Mwanaume atakayemgusa amuwakie.

Dozi ya 5

Mpige marufuku mtoto wako wa kiume kupaka mafuta yenye picha ya kike. Mlishe sumu kuchukia tabia ya kuwa na mafuta tofauti tofuati, mafuta ya kucha, nywele, ngozi, uso na poda kwa mbali. Mwambie ikiwezekana apake hata korie asepe

Dozi ya 6

Mfundishe mtoto wako wa kiume kuwa ngangari, kutolia akianguka na kuumia. Hata maji ya kuoga mwambie wanaume wanaoga maji ya baridi! Na wanaoga usiku tu baada ya kazi!🫢🫢🫢

Dozi ya 7

Mlishe sumu mwanao wa kiume ya kuacha kula kula vitu laini, ale vigumu, siku nyingine apige ugali bila mboga! Agonge mahindi ya kuchoma, miwa, karanga na akimaliza afute mdomo na kushushia maji ya baridi aende darasani.

Dozi ya 8

Mtengenezee mazingira ya kuchukia kukaa jikoni na mama yake na kupikapika. Hata moto asiote na dada zake wakati wa baridi. Akoke moto wake nje!

Dozi ya 9

Akioga asikubali kujifutia kanga ya mama yake. Hata kujifunga kanga kwenda kuoga mwambie no.

Dozi ya 10

Mlishe sumu mwanao wa kiume popote anapokwenda asikubali kulala na wageni wa kiume. Na aachane na tabia za kuomba anunuliwe nguo za kulalia!

Dozi ya 11

Mwambie mtoto wako wa kiume akiitwa majina ya kubebishwa na kukumbatiwa kumbatiwa akatae. Mwambie yeye siyo baby boy, yete ni mwanaume. Sisi tulifundishwa hivyo Milambo Sekondari. Tulifundishwa kujiita wanaume.

Dozi ya 12

Mwambie mtoto wa kiume marufuku kudeka. Akipigwa asilie. Akaze meno. Akija nyumbani analia mchape ili anyamaze.

Dozi ya 13

Ukimkuta mtoto wako wa kiume jikoni anasugua masufuria na kukuna nazi mpige. Mbinuko wa kukuna nazi kwa mtoto wa kiume hauna mwisho mwema!

Dozi ya 14

Mtoto wako akivaa suruali inayobana halafu fupi mpe mboko nyingi. Hata mlegezo mpe bakora.

Dozi ya 15

Mpe mtoto wako wa kiume pocket money na usimuulize aliitumia kufanya nini. Kikubwa mfundishe kwamba mwanaume halisi hulipa bili, halipiwi bili.

Dozi ya 16

Mtoto wako wa kiume akianza kutumia maneno kama jamoni,thatha, na kuongea anabana sauti mpe mboko za kutosha.

Dozi ya 17

Mtoto wako wa kiume akianza kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzake mpige aisee!

Dozi ya 18

Mtoto wa kiume kulilia afanyiwe birthday kama dada zake hapana.Akililia mpige. Ukiona ameandika my birthday is loading mpe viboko!

Dozi ya 19

Ukiona mtoto wako wa kiume anaangalia tamthilia badala ya mpira, mieleka, mbio za magari na taarifa ya habari mpe makofi ya mgongoni.

Dozi ya 20

Ukiona mtoto wako wa kiume kitu kidogo anacheka mpaka anakaa chini mpe mabanzi. Lakini akiwa mtu wa kuzira na kususa mtandike pia. Mwambie mwanaume hasusi!

Dozi ya 21

Ukiona mwanao wa kiume anacheza muziki kwa kuzungusha mauno kama feni na kuinua vidole juu na ulimi nje mpe fimbo nyingi.

Dozi ya 22

Marufuku mtoto wa kiume kukaa geti kali. Mfundishe ubabe. Mwambie mwanaume halisi hashindi nyumbani, anashinda kazini. Mpe kazi za kufanya nje ya nyumbani!

Dozi ya 23

Ukisikia mtoto wako wa kiume analalamika kwamba watoto wa kike wanamuomba hela mtandike halafu mwambie mtoto wa kike lazima atunzwe.

Dozi ya 24

Ukiona mtoto wako wa kiume anawaomba hela wadada mtandike sana, ikiwezekana siku hiyo alale njaa.

Jaribu hizi dozi uone kama hujaisaidia jamii kwa kutuongezea wanaume wa nguvu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
C&p
Huwa mnajidanganya sanaa eeeh mkikaa huko vijiweni? Umewahi kuwahoji mashoga wakakueleza hata kwa kifupi shida nn wao kuwa vilee?
 
kwa ujumla kizazi cha sasa hakina uoga wa lolote, yeyote wala chochote wanajaribu kila kitu na hauwezi waambia kitu.

mbali na huo ushoga kuna wimbi kubwa la mabinti kupenda kuingiziwa kusiko ruhusiwa.
Hili LA wanawake kuingiliwa kinyume na maumbilee lishakua fashion, cha ajabu ushoga hawautakiii
 
Huwa mnajidanganya sanaa eeeh mkikaa huko vijiweni? Umewahi kuwahoji mashoga wakakueleza hata kwa kifupi shida nn wao kuwa vilee?
Hakuna shoga mwenye shida Dada, nawajua japo kwa sehemu. Asilimia kubwa ni tokeo la malezi na utandawazi. Full stop 🛑
 
Hizo tabia zitaisha endapo hao wanaofanyia hivyo vitendo watatokomezwa, humu wengi mnanyooshea vidole mashoga lkn miongoni mwenu ni waharibifu na wazalishaji wakuu wa hao mashoga.

Kinga ni bora kuliko tiba. Hao mashoga hawajifanyi wenyewe.
Kuna uzi humu wanaume wanajisifia kuwaingilia wanawake kinyume na wanaona ni sawa!! Ila ushajiuliza km kamuingilia mkewe vipi akiwa na arosto na yupo na watoto wa kiume nyumbani..???!!!!!
 
Hakuna shoga mwenye shida Dada, nawajua japo kwa sehemu. Asilimia kubwa ni tokeo la malezi na utandawazi. Full stop
Nilicho kuuliza na ulichojibu ni tofauti, kwan nani hawajui hao mashoga? Sasa mie ndo nakuambia unaweza kumpa mtoto wa kiume hata dozi 50 na bado akawa shoga.

Narudia tena umewahi kuwahoji mashoga na wakakueleza shida nn wao kuwa vile.

Hata unaelewa ushoga ni nn? Ndo maana mnashindwa kupambana nao kwa kuwa hamjui nini mfanye kutatua jambo hili.

Poleeeee.
 
Hizo tabia zitaisha endapo hao wanaofanyia hivyo vitendo watatokomezwa, humu wengi mnanyooshea vidole mashoga lkn miongoni mwenu ni waharibifu na wazalishaji wakuu wa hao mashoga.

Kinga ni bora kuliko tiba. Hao mashoga hawajifanyi wenyewe.
Kuna uzi humu wanaume wanajisifia kuwaingilia wanawake kinyume na wanaona ni sawa!! Ila ushajiuliza km kamuingilia mkewe vipi akiwa na arosto na yupo na watoto wa kiume nyumbani..???!!!!!
Swali la kujiuliza, mashoga wanadate na nani? Yaan jamii inamlaumu huyu muingiliwa, afu muingilia anaonekana shujaa na kidume haswaa.

Afu hao wanaume wanalaumu wanawake kwa kuwa karibu nao km marafiki, ili hali wao wana wageuza wake zao na kuwaingilia kimwili.

UNAFIKIIIIIIIII
 
Nilicho kuuliza na ulichojibu ni tofauti, kwan nani hawajui hao mashoga? Sasa mie ndo nakuambia unaweza kumpa mtoto wa kiume hata dozi 50 na bado akawa shoga.

Narudia tena umewahi kuwahoji mashoga na wakakueleza shida nn wao kuwa vile.

Hata unaelewa ushoga ni nn? Ndo maana mnashindwa kupambana nao kwa kuwa hamjui nini mfanye kutatua jambo hili.

Poleeeee.
Dada, Ninawafahamu japo kwa sehemu, nimefanya nao KAZI Sana Tu enzi zile za kuzuia maambukizi ya HIV na TB kwa kuwapa Elimu na Vilainishi! Nawajua ila sio kesi, wacha ninywe kwanza
 
Back
Top Bottom