Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,947
16,606
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.

Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .

Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Screenshot_20240411_112805_X.jpg
Screenshot_20240411_113448_X.jpg
 
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.

Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .

Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Mbona kuna watu walisema NATO tayari iko vitani na Urusi huko Ukraine??
 
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.

Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .

Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Magaidi bhana huyo putin hawapendi kweli kweli hamjui tu.
 
NATO wamemsaidia sana Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.

Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Ni kweli,USA yeye aliabishwa na wasomali hataki hata kuwasikia,baadae akiwa na washirika wake wakapigwa na jamaa wenye kobazi na Ak-47(Taliban) Hadi akakimbia.
 
Back
Top Bottom