The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Haya kumekucha kumekucha.

Tunisia=Misri

Who is next?
Yemen or Iran?
Libya or Bahrain?
Tanzania or Uganda?
Zimbabwe or Ivory Cost?

Yetu macho

Hiyo ya papo nadhani baada ya miaka mia tano ya kujitambua kuwa udini wetu tuuweke pembeni ndio tutaweza kufanya ya Misri. Ila kama kina Masanilo wao wataendeleza kejeli na kebehi pengine tutachukua hata miaka elfu moja!
 
Gaddaf pamoja na udikteta nadhan alikuwa na mapenzi halisi kwa nchi yake tofauti madikteta wengine wa Afrika.

Sina hakika pia kama kajilimbikizia mali kama watawala wetu Tanzania tunapohubiriwa haki za binadamu na utawala wa sheria.

Ninachokiona waLibya wanataka mabadiliko tu na kwamba malalamiko yao yanafanana na ya Misri. Libya ni sawa na mtoto kwenye nyumba ya tajiri anayelilia keki ya chocolate badala ya vanilla.

Yote katika yote watanzania/waganda tuna safari ndefu kuelekea kwenye kufanya maamuzi ya waarabu maana ni wenye kuridhika na majibu mepesi kwa maswali magumu, ni wenye kumwachia Mungu maana ndio mapenzi yake na kina Makamba wanatwambia biblia inasema tutii mamlaka kwa vile zote (hata ya CCM) imetoka kwa Mungu. Anawafanya watanzania wote ni wakristo huku akijua kuna watanzania hawamwabudu Mungu wa waislam wala wa wakristo.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Colonel Muammar al-Gaddafi ni mtawala wa Libya tangu mwaka 1969,ametawala Libya kwa zaidi miaka arobaini haonyeshi dalili za kuachia madaraka ana mwandaa mwanae Sayf al-Islam kutawala nchi baada ya yeye kuanza kuchoka hiyo ndiyo demokrasia ya nchi nyingi za kiaarabu.

Colonel Muammar al-Gaddafi ni aina ya watawala wanaodhani utawala ni kwaajili ya wao na familia zao pekee wananchi wengine kazi yao kubwa ni kutawaliwa tu na si vinginevyo.Hosni Mubarak alimwandaa mwanae Gamal Mubarak kutawala Misri haikuwa kitu cha ajabu au kushangaza kwa wanaofuatilia siasa za waarabu.Pengine Colonel Gaddafi alitaka kuiga mfano wa rais wa Syria Hafez al-Assad aliyemwandaa mtoto wake Bashir al-Assad kutawala baada ya kufariki.

Wananchi wa nchi za kiaarabu wameamuka sasa hawataki ujinga wa watawala wa kujilimbikizia mali na kurisisha utawala kwa watoto na familia zao.Nguvu ya umma ni kubwa kuzidi vifaru na bunduki hakuna wa kuzuia mabadiliko sana sana wataweza kuchelewesha kidogo tu.Hakuna mtu angeweza kuamini Colonel Gaddaf mtawala aliyewatisha hata mataifa makubwa kwa kufadhili vikundi vya kigaidi yuko katika hatihati ya kuondolewa na wananchi wake waliomchoka.Inashangaza zaidi Colonel Gaddaf alikuwa na tamaa ya kutaka kutawala Afrika [United State of Africa]wakati nchi ndogo ya Libya yenye ukubwa wa sq km 1.77 million na idadi ya watu milion 6.5 ilishamshinda siku nyingi.
 
Watu hapa nakutaka source? Read what is posted and move on...you can either believe what is written or not... grrrrr:mullet:
 
Mh! Wimbi hili la mabadiliko sijui litafikia wapi. Hivi mseveni je yeye haoni haya yanayotokea?
 
Watanzania tunao ubalozi Libya?

Ghanaians stranded in Libyan Crisis call on government for help
spacer.gif
spacer.gif

Last Updated: Monday, 21 February 2011, 7:30 GMT

spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
Mohammed%20Mumuni_1.jpg
spacer.gif

Foreign Affairs Minister, Alhaji Mohammed Mumuni
spacer.gif


Some Ghanaians caught up in the on-going political crisis in the Libyan city of Benghazi say they are stranded and would want government come to their rescue.

A number of them spoke to Asempa News from their hideout in Tripoli, the Libyan capital where they have taken refuge as a result of the mass pro-democracy protests in Benghazi leaving several people dead and injured. They say the Ghana Embassy in Libya has been adamant despite their plea for help.

But Ghana’s Foreign Affairs Minister, Alhaji Mohammed Mumuni explains that until the Ghana Libya Mission officially investigates the situation and submit their reports he cannot make a statement on the situation.

“I have a mission in Tripoli and I have to tell them to investigate and file a report to me, until then I have to decline to grant you an interview on this subject my brother” the Foreign Minister said.

Contacts made at the Ghana mission in Libya by Asempa News were unsuccessful as phone calls were not answered.

The BBC reports more than 200 people are known to have died, doctors say, with 900 injured. The bloodiest attacks were reported over the weekend, when a funeral procession was said to have come under machine-gun and heavy weapons fire.

It is believed there are about 4, 000 Ghanaians living in various towns and cities across the Saharan nation.
Source:
 
UPDATE 1-Government building on fire in Libyan capital

Mon Feb 21, 2011 9:31am GMT
(TRIPOLI Feb 21 (Reuters) - A government building in the Libyan capital is on fire, a Reuters reporter said on Monday.

"I can see the People's Hall is on fire, there are firefighters there trying to put it out," the reporter said.

The building is where the General People's Congress, or parliament, meets when it is in session in Tripoli.
(Writing by Christian Lowe; Editing by Janet Lawrence)
Source:
 
10.01am: This Al Jazeera video apparently shows protesters taking up arms in Libya's second city, Benghazi, while elsewhere thousand gather outside a mosque in the town of Bayda to protest against Colonel Gaddafi's rule. The footage also claims to show a mercenary hired to attack protesters.



Source:

The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall.
Che Guevara
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mtu aliwahi kufikiri Gadafi atapatwa na Maswahiba haya si zani kama yupo! Kwa hiyo tukae tukijua yanakuja EAST AFRICA. Si ishara zinaonekana
 
Kama kuna mtu aliwahi kufikiri Gadafi atapatwa na Maswahiba haya si zani kama yupo! Kwa hiyo tukae tukijua yanakuja EAST AFRICA. Si ishara zinaonekana
Wacha yaishie huko huko.Yakija EAST AFRICA itakuwa kitu kingine kabisa!.
 
we naomba mageuzi haya yasiishie kwa waarabu tu yafike na uku kwetu japo watu watauawa sana
 
Nigerians killed in Libyan protests

By Chinedu Offor Correspondent, Washington D.C

Dozens of Nigerians are among hundreds killed in the on-going protests in Libya, according to a U.S.-based rights group.

Human Rights Watch reported that Libyan government’s crackdown on anti-government protesters in the eastern part of the country has led to the dath of at least 2,000 people in five days of unrest.

The group said Nigerians and other nationals died when Libyan security forces fired on protesters in the second largest city of Benghazi, where crowds gathered for the funerals of other activists.

Arab media reports say at least 15 protesters were killed in Saturday’s shootings, which some residents described as a “massacre.”

Witnesses say snipers opened fire after the mourners tried to storm a military building and prison where some Nigerians were detained.

Source:
 
Wacha yaishie huko huko.Yakija EAST AFRICA itakuwa kitu kingine kabisa!.
Mkuu.
Unamaanisha nini?
Kuwa polisi na jeshi watatutwanga risasi kama mvua inaponyesha?
Au???
Naomba ufafanuzi na maoni yako juu ya kauli yako hapo juu.
 


Jee USA wana mkono wao katika haya yanayotokea katika nchi hizi?
 
Last edited by a moderator:
Mwaka wa mageuzi huu...madikteta wote wakae mkao wa kuondoka! Nani aliwaza Gadaffi ataondoka madarakani..., Tunisia walionyesha njia!
 
Sasa bado kwetu tu kama vipi Mtembezi akitoka huko Abjan akute hana chake huku........
"uwezo tunao,nia tunayo sababu tunazo sijui nini tunangoja"
 
Huwa ninapata tabu ninapojiuliza hivi viongozi wa Serikali za Tanzania hawaoni yanayotokea katika nchi nyingi sasa? Tunisia, Jordan, Algeria, Egypt, Yemen, Djibout......utengano wa Sudan.

Na bado hawaoni umuhimu wa kuanza meaningful reforms za kijamii, uchumi na za kisiasa ili nchi isitumbukie katika list ya hizo nchi?
Au wanafikiri wataweza kuzuia wimbi hili? Kama wanafikiri wana uwezo wa kuzuia mabadiliko naona wanajifanya "vipofu".

Risasi zilitumika mwanzoni katika nchi za Tunisia na Misri na mwishowe matokeo yake tumeyaona, jee viongozi wetu wanafikiri risasi ndio itakuwa jawabu ya kuzima maandamano ya wanafunzi wanaotaka Mikopo reforms? Risasi na unyimaji vibali vya polisi kwa mikutano au maandamano ndio suluhisho na utatuzi wa matatizo ya wafanyakazi?

Risasi na unyimaji wa vibali ndio suluhisho la kuvidhibiti vyama vya siasa?

Wito kwa serikali, Anzeni meaningful reforms vyenginevyo wekeni askari na risasi za kutosha..yaliyoanza katika nchi hizo mpaka yameingia Libya basi mujue wananchi itafika siku watajua kuwa njia pekee ya kudai maisha bora kwa kila mtanzania ni kufuata huu utaratibu mpya wa maandamano ya umma.
 
Saif al-Islam Gaddafi, the son of strongman Muammar Gaddafi, says that Libya is on the verge of civil war, branding the unprecedented protests against his father's rule a foreign plot.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom