Taifa lolote duniani lenye Rais anayeogopa kujipambania lina hasara kubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,015
109,924
Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno.

Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC yangu ya Tanzania inavyoniumiza na kunifanya nkose raha mbele ya wana Yanga SC wanaotutambia sasa nizimalizie kwako sawa?
 
Hilo litakuwa lile Taifa linaloongozwa na Sir_100. Ndiyo Rais pekee anayetaka ichapishwe fomu Moja, eti hataki upinzani ndani ya chama chake. Ana chawa wengi pengine kuliko Marais wote duniani.
 
Back
Top Bottom