My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Siyo Ukraine tu, Russia ataponaje kiuchumi?Putin ameshasema mara kadha wa kadha kuwa USA aliposababisha maafa Libya, Syria, Serbia, Iraq na Afghanistan nani ali condemn hayo ? Even UN security assembly hawaku approve uvamizi.
Tusii condemn RUSSIA sababu yenyewe inatka security assurance kuwa western bloc hawato expand east zaid wala kuweka sophiscated material zao pale za kijeshi.
What i see ni USA kujaribu kuiweka Russia kwenye mtego mbovu ili aingie kwenye vita alafu azid kuporomoka kiuchum.
USA wana propaganda za kipuuz sana.
Through diplomacy ule mgogoro utaisha lakini kwa kurushiana magurunet muathirika mkubwa ni Ukrain