Ninatafuta gari aina ya Toyota Allex kwa ajili ya kununua

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
602
509
Husika na kichwa hapo juu ninatafuta gari ya kununua Toyota ALLEX number kuanzia DY offer ipo 12 ubaoni

:Kama ni dalali ukija sema Kama ni owner Pia ukija sema punguza maneno matendo yawe mbele, Nyeusi itapewa kipaumbele zaidi

Ninajua gari ni mjuzi hasa wa kukagua.

0759117175 ,WhatsApp,Message.
 
Na wewe sema ni Dalali au ndio mnunuzi mwenyewe?
 
Ipo Toyota Allex namba DSU rangi ya Gold. Ukiwa interested nicheki whatsapp 0754747050.

Note: gari ipo Mwanza. Bei ni 11.5M
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom