Natafuta Gari Ford ya kununua kama hii chini

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
602
509
Kichwa chajieleza hapo juu, natafuta gari ya kununua kama hiyo hapo offer yangu ni 40 kushuka chini.

Nitext WhatsApp, unitumie picha, location, na baadhi ya maelezo kidogo kuhusu hiyo gari. Pia kama wewe ni owner au dalali.

Sifuri saba tano tisa kumi na moja sabini na moja sabini na tano - nimeandika hivyo number kwa sababu maalum.

Please usinipasue, tusipasuane.

IMG-20221207-WA0000.jpg
 
View attachment 2439253
Yani Ford Ranger upate below.. 40ml!

Utakuwa na bahati ukifanikiwa mkuu..
 
Kichwa chajieleza hapo juu, natafuta gari ya kununua kama hiyo hapo offer yangu ni 40 kushuka chini.

Nitext WhatsApp, unitumie picha, location, na baadhi ya maelezo kidogo kuhusu hiyo gari. Pia kama wewe ni owner au dalali.

Sifuri saba tano tisa kumi na moja sabini na moja sabini na tano - nimeandika hivyo number kwa sababu maalum.

Please usinipasue, tusipasuane.

View attachment 2439253
dah sema humu kuna utoto mwingi
 
Hapo bongo hiyo gari huwezi kuipata kirahisi, magari ya Marekani hapo wengi hawaitumii labda ya Japan neenda uganda kampala ni mengi
Duh we jamaa uko Tz kweli?Hizo Ford Ranger ziko nyingi kishenziiii au ulizania hio Ni Cadillac Escalade?
 
Body million 40? Sawa mkuu nimekuona umecomment.
Mkuu ysishangae majuzi jama kanunua body ya mercdence benz c-class 38m Engine ikiwa chini kabisa kwa hiyo 40m kwa body ya Ford nzuri mbona kawaida japo itaisha yote
 
Duh we jamaa uko Tz kweli?Hizo Ford Ranger ziko nyingi kishenziiii au ulizania hio Ni Cadillac Escalade?
Wewe ukiona gari mbili ndo useme ni nyingi, kati ya magari 1000 utakuta hiyo ford moja au ukakosa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom