Nenda yard nimekuta 12mmwenye gari aina ya toyota allex au runx isiwe nyeusi au nyeupe with low milleage iwe mpya ambayo haijatumika hapa bongo .,nipo mwanza:
OFFER:9.5M
kuna yard imepakana na SUPERMARKERT ya NAKUMATI ile ya KAMATA ipo paleahsante kwa ushauri wenu.., wapi mkuu englibertm nikabargain..
kuna yard imepakana na SUPERMARKERT ya NAKUMATI ile ya KAMATA ipo pale
Ongeza pesa kidogo agiza japan hutajuta.