goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 802
- 872
Naomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na uimara wa gari husika kama ningekuwa vzr mfukoni ningechukua zote ila ndo hivyo napaswa kuchagua moja.