Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 673
- 1,996
Habari wakuu
Leo katika pilika nmekutana macho kwa uso na Rumion new model,mitaa ya mwenge baadae nkakutana nayo tena mikocheni.
Mwanzo nlizani ni toyota Ipsum kuchek nyuma ni Rumion
Ina shape tofauti na old model mpaka taa
Lakini kikubwa zaidi ni 7 seater
Sijui vingi kuhusu hii gari lakini ni latest
Hii inaonesha bongo sahivi watu wameamka
Wana import gari za hivi karibuni.Nice!
Tunaomba wajuzi wa hii au wamiliki watupe ABC
Za Hii Toyota Rumion maybe inaweza kuwa alternative ya vanguard na Rav 4 kwa wenye kipato cha kati.
Karibuni,