Namna Airbus A220-300 ilivyoisababishia hasara ATCL

Soma vizuri nilichokiandika utaelewa. Nimezungumzia faida kwa upana wake kwamba faida mwishowe inamlenga nani? Je ni mtu au jini?
Pia nimezungumzia faida kwa miradi kama hiyo haiji kama kuanzisha duka la Mangi na kesho kuleta faida. Kafuatilie mashirika ya ndege huko duniani yameanza kupata faida baada ya muda gani tangia yalipoanzishwa?
Fuata misamiati ya kitaaluma
 
Back
Top Bottom