Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,851
12,088
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi.

Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya majengo ya chuo hicho (Block H, Collage of Education).

Taarifa za awali zimeeleza kuwa alipokorofishana na mpenzi wake litaka kujirusha kutoka Ghorofa ya Nne.

Inadaiwa amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya matibabu baada ya kuonekana hayupo sawa.

Taarifa zaidi zitafuata.

MAELEZO YA UDOM
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa UDOM, Rose Mdami alipoulizwa amesema haya:

Taarifa za Tukio hilo ni za kweli, huyo kijana ameumia kiasi na amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa akipatiwa huduma, inadaiwa alifanya jaribio la kutaja kujiua na taarifa za awali zinaonesha kuwa chanzo ni masuala ya mapenzi.

Unajua huwa kuna changamoto ya tabia hasa kwa baadhi ya vijana hasa wa Mwaka wa Kwanza, lakini sisi kama Chuo tumeshirikisha mamlaka za kiutawala na kiusalama zinazohusika ili ziweze kufanya kazi yao.

Baada ya hapo kijana huyo akipata hali nzuri kiafya tutaingia kwenye masuala mengine yanayofuata ikiwemo ushauri wa Kisaikolojia.

=========

The head of the Communication and Marketing Unit at UDOM, Rose Mdami, when asked, said the following:

"The information about the incident is true. The student has been injured to some extent and is admitted to Benjamin Mkapa Hospital for treatment. It is alleged that they attempted suicide, and preliminary reports indicate that the cause is related to relationship issues.

She further explained the challenge of personal behavior, especially among some first-year students.

"After the young person recovers physically, we will address other matters, including psychological counseling." she stated.
 
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi.

Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya majengo ya chuo hicho (Block H, Collage of Education).

Taarifa za awali zimeeleza kuwa alipokorofishana na mpenzi wake litaka kujirusha kutoka Ghorofa ya Nne.

Inadaiwa amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya matibabu baada ya kuonekana hayupo sawa.

Taarifa zaidi zitafuata.
Unao uhakika? Hebu tuoneshe roho yake kama kweli alitaka kujiua.
 
We jonalist leo ndo tareh 26, rekebisha hapo.
Wote mko sahihi. Kwani ww Vishu hukusoma hii para? " .....Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya majengo ya chuo hicho (Block H, Collage of Education).
Lakini uko shihihi kweli leo ni 26/04/2024
 
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi.

Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya majengo ya chuo hicho (Block H, Collage of Education).

Taarifa za awali zimeeleza kuwa alipokorofishana na mpenzi wake litaka kujirusha kutoka Ghorofa ya Nne.

Inadaiwa amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya matibabu baada ya kuonekana hayupo sawa.

Taarifa zaidi zitafuata.
Ingekuwa vizuri ungeandika LIMETOKEA TAREHE 25 APRIL 2024, neno JANA ungeliondoa.

Ni ushauri tu.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom