Mamelodi ni Overrated, sijui ukubwa waliupataje

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,320
4,316
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players.

Imepigwa ndani nje

Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10

Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni overrated sana

Yanga ilidhulumiwa kama TPM ilivyodhulumiwa
 
Mamelodi hajawai kuwa mkubwa.

Ukubwa amepewa na wa Tanzania wajinga mashabiki wa mikia.

Hakuna timu kubwa yenye nyota moja kwenye jezi.

Nyota moja yenyewe ya ubingwa wa Caf CL wameipata mahakamani baada ya legal battle za wanasheria na kubebwa na CAF.

Kuna timu zaidi ya 15 africa zinamzidi CV mamelodi

IMG-20240427-WA0009.jpg
 
Mamelodi amewai kutwaa ubingwa mara moja tu. Na hata hiyo mara moja ilijaa mizengwe

Mamelodi hata msimu aliotwaa ubingwa mwaka 2016.

Mahakama na wanasheria ndio wali ilimsaidia kutwaa ubingwa huo mwaka 2016. Ila uwanjani alishatolewa
 
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players .

Imepigwa ndani nje

Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10

Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni overrated sana



Yanga ilidhulumiwa kama TPM ilivyodhulumiwa
 
Wadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.

Mpira wa Africa una chezwa home zaidi

Hata goli la yanga lilikataliwa

VAR za CAF ni za mchongo na zinaleta damage sna

Iliwatoa TPM kwenye mchezo kwa kukata goli halali

Marefa nao wanakula Rushwa snaa kwa kushirikiana na VAR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom