Uchambuzi wangu: Mechi itaisha Al Ahly 6 - 0 Simba

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,991
24,635
Kama ilivyo kawaida kwa mechi kubwa inavyokuja mimi kama Mchambuzi Bora hapa JF lazima nilete analysis ya mechi before Ili kumsaidia kocha kufanya right decision at right time. Japo nimemsikiliza leo naona Robertinho anaongea huku anatetemeka.

Uchambuzi wangu

Kutokana na uzito wa mechi, uwepo wa vigogo wa soka Duniani (kitu ambacho kina Saido, Chama + Kolo wote hawajazoea tofauti na Al Ahly au Yanga waliocheza Finali mbele ya vigogo wa soka Africa kule Algeria dhidi ya USM Alger). Hali hii itawafanya wachezaji wa Simba ku panic hivyo kilose confo na kuamua kujilinda zaidi kuliko kushambulia. Kosa hili watapigwa goli 3 za fasta.

Low quality players

Wafungaji wa Simba ni wazuri kwa timu zenye low profile kina horoya, Coastal, hapo utashuhudia Saidoo, Baleke anapiga goali 10+ pekee lakini wakikutana na timu kama Al Ahly wanapoteana hivyo kusababisha Al Ahly kuutawala mpira langoni kwa kolo, hapa Simba atakula 3 pia.

NB: Kwa mechi ya kesho hawa wa kina Baleke, Phil na Chama usije shangaa wakiugeuka kuwa Ngushi (chance 7 no goal) baada ya kupoteana.

Mwisho, Simba 0-6 Al Ahly.

1697717497859.jpg
 
Kama ilivyo kawaida Kwa mechi kubwa inavyokuja Mimi kama mchambuzi Bora hap jf lazima nilete analysis ya mechi before. Ili kumsaidia kocha kufanya right decision at right time japo nmemsikiliza Leo naona robertinho anaongea huku anatetemeka.

Uchambuzi wangu

Kutokana na uzito wa mechi, uwepo wa vigogo wa soka Duniani ( kitu ambacho kina saido, Chama + kolo wote hawajazoeatofauti na Al ahly .. au Yanga waliocheza final mbele ya vigogo wa soka Africa kule Alger ia dhidi ya USM Alger). ..Hali hii itawafanya wachezaji wa Simba ku panic hivyo kilose confo na kuamua kujilinda zaidi kuliko kushambulia......kosa hili watapigwa goali 3 za fasta

Low quality players

Wafungaji wa Simba ni wazuri Kwa timu zenye low profile kina horoya, Coastal, hapo utashuhudia saidoo, baleke anapiga goali 10+ pekee

Lakini wakikutana na timu kama Al ahly wanapoteana hivyo kusababisha Al ahly kuutawala mpira langoni Kwa kolo ......hapa Simba atakula 3 pia

NB: Kwa mechi ya kesho hawa wa kina baleke, Phil na Chama....usije shangaa wakiugeuka kuwa Ngushi ( chance 7 ....no goal) Baada ya kupoteana ....

Mwisho Simba 0 .......6 Al Ahly View attachment 2786432
mi naongeza 3 mkuu...
 
Sina cha kuwaombea. Nakumbuka ile siku wakati natoka uwanjani kwenye fainali ya CAFCC Vs Usma Alger makolo walikuwa wamejipanga barabarani wanatukana na kuzomea sana, wakati wao umefika.
Usilipe kisasi mtu wangu, tuwaombee tu
 
Back
Top Bottom