Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
627
1,626
Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo!

Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea mchezaji mmoja mmoja, na pia wakashindwa kujua mechi za mtoano zinachezwa kimbinu zaidi ili kuvuka hatua inayofata!

Mechi ya Leo ilichezwa kimbinu na kocha GAMOND alijua key players wake muhimu awapo ivyo alikuja na mpango mkakati wa kuvunja mbinu zote za Mamelod wanazotumia kupata mabao anastahili pongezi sana!

Ufanisi tu kwenye umaliziaji ndio umeiangusha yanga lakini wamefanikiwa kucheza kimbinu na timu kubwa Kama MAMELODI iliyokuwa imesheheni nyota wake wote!

Mechi ya Pretoria ni mpya na yanga sio mwepesi kwenye mechi za ugenini Mamelod wajiandae tu wasidhani watapata mteremko Ngoma itapigwa mpaka kieleweke!

N;B wale wazee wa kuchoma viwanja Kama ndio wangewakosa wachezaji wao muhimu 3 basi ilikuwa ni kiama(kauka nikuvae) wangejuta!
 
JamiiForums1381953234.jpg
 
Mngekuwa na kikosi kipana msingepigwa na IHEFU
 
Back
Top Bottom