Makosa ya kiufundi kumpindua Rais wa DRC ni haya

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
465
1,808
Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe kilipigwa marufuku nchi mbalimbali maana ukisoma hii ukaelewa vizur raisi unamtoa mchana kweupe bila usumbufu wa damu kumwagika

Turudi congo kwenye jaribu la kumtoa rais congo jana na bwana malanga raia marekani na congo alikuwa kiongozi yeye pamoja na mtoto wake ameonesha dhahiri hana elimu ya kutosha kuhusu mapinduzi ya kijeshi makosa aliyo fanya ni haya

1. Aliteka bunge
Bwana malanga jana kafanya kosa kuteka bunge ambako sio center ya power ya congo hili ndo kosa kubwa bwana malanga alifanya ndo maana hakufanikiwa bunge kwenye mapinduzi ya kijeshi sio issue labda angeteka bunge likiwa bado lina wabunge ndani na kuwafanya wabunge wampige kura ya kutoa rais lakina bado angeshindwa pia .. hadi sasa sikuona umuhimu wa kuteka bunge

2. Hakujua rais yuko wapi
Bwana malanga alikosea kujua rais ya congo Felix Tshisekedi unapofanya mapinduzi ya kijeshi lazima ujue rais yuko wapi na best time huwa rais akiwa nje ya nchi yaani unampokoja uraisi akiwa huko huko nje ya nchi mfano iddi amini na obbote, john okello pia alijua sultan yuko ikulu so twende huko huko sultani wa znz akakimbia bwana malanga wa congo hili hakujua raisi yuko wapi....yaani lazima ujue raisi yuko wapi rais ndo center of power

Hata hapo bongo moja ya jambo lililowatatiza sana wafanya mapinduzi wa 1964 walishindwa kujua rais yuko kumbe nyerere alikimbilia kigamboni mji mwema huko kwenye nyumba ya raia wa kawaida akitwa mzee sultan kizwezwe nyumba ya makuti tu akawa ana toa order za kijeshi na nchi kutoka kigamboni mji mwema ila wangejua yupo kigamboni shughuli ilikuwa imeisha rais wa nchi wakati ule angekuwa bwana elisha kavana maana ndo aliongoza mapinduzi ya 1964

3. Radio/tv ya taifa na kiwanja cha ndege
Bwana malanga aliteka bunge akasahau radio ya taifa kiwanja kikuuu cha ndege ili kuifunga nchi kwa muda kisha kutangaza yeye ndo raisi kupitia radio ya taifa na tv pia kuwapa taarifa askari wote watulie kuwa kila kitu kipo under control, badala yake yeye akiwa bungeni congo bwana malanga akatumia facebook kutangaza mapinduzi mjinga

4. Kutokuwa na mawasiliano na wakuu wa kambi za kijeshi hasa makanali
Wakuu wa kambi za kijeshi huwa mara nyingi ndo wanapokea order za kijeshi kutoka wakubwa wa kijeshi kama mabrigedia na majenerali kutoa wana jeshi na silaa ziende eneo fulani mara nyingi huwa ndo wahusika wakuu wa kambi husika, sasa bwana malanga ilibidi apate mawasiliano na hawa watu na kuwarubuni kuwa akifanya mapinduzi atawapandisha vyeo na kula mema ya nchi endapo watakaa order kutoka kwa wakubwa zao, hapo ilibidi hadi macaptain na acheze nao hasa wa kambi za jiran ambapo mapinduzi yanafanyika.

Sasa yeye kaanda kama kichaaa bila kuwa na connection na watu ndani ya jeshi la congo hasa wakubwa wa kambi na macaptain mbali mbali

Njia hii aliitumia gadafi kumpindua yule mfalme mwaka 1967 order za kijeshi makambini zilifika wakuu wa kambi wakagoma kutoa silaa wala wanajeshi

5. Confusion barriers...vikwanzo uzushi barabarani ....
Pia alikosea kuweka Confusion ilibidi askari wake wote wavae nguo za jeshi la congo kisha kuweka barriers mbali mbali za kijeshi ili misafara ya kijeshi ikifika hapo kweye barriers inasimamishwa inaambiwa ikulu kila kitu kiko sawa haina haja ya kwenda mara nyingi Confusion ndo njia pekee huwa inatumika kuzuia wanajeshi wanaowahi kwenda kumuokoa raisi wasifike kwa wakati

Narudi tena kitabu cha kufanya mapinduzi kiliandikwa na C.I.A ili kuwasaidia wafanya mapinduzi wakati ule marekani ilikuwa iko busy kupindua serikali mbalimbali dunia nashuruku na mimi copy yake niliwahi soma kidogo kwa jina practical handbook for coup detat

Pia 70% mapinduzi duniani hufeli 30% ndo hufanikiwa yakipangwa vizuri

RIP malanga umekufa kwa ujinga wako elimu muhimu kabla kufanya japo lolote na lazima uone lipo ndani ya uwezo wako sio unakurupuka tu​
 
Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe kilipigwa marufuku nchi mbalimbali maana ukisoma hii ukaelewa vizur raisi unamtoa mchana kweupe bila usumbufu wa damu kumwagika

Turudi congo kwenye jaribu la kumtoa rais congo jana na bwana malanga raia marekani na congo alikuwa kiongozi yeye pamoja na mtoto wake ameonesha dhahiri hana elimu ya kutosha kuhusu mapinduzi ya kijeshi makosa aliyo fanya ni haya

1. Aliteka bunge
Bwana malanga jana kafanya kosa kuteka bunge ambako sio center ya power ya congo hili ndo kosa kubwa bwana malanga alifanya ndo maana hakufanikiwa bunge kwenye mapinduzi ya kijeshi sio issue labda angeteka bunge likiwa bado lina wabunge ndani na kuwafanya wabunge wampige kura ya kutoa rais lakina bado angeshindwa pia .. hadi sasa sikuona umuhimu wa kuteka bunge

2. Hakujua rais yuko wapi
Bwana malanga alikosea kujua rais ya congo Felix Tshisekedi unapofanya mapinduzi ya kijeshi lazima ujue rais yuko wapi na best time huwa rais akiwa nje ya nchi yaani unampokoja uraisi akiwa huko huko nje ya nchi mfano iddi amini na obbote, john okello pia alijua sultan yuko ikulu so twende huko huko sultani wa znz akakimbia bwana malanga wa congo hili hakujua raisi yuko wapi....yaani lazima ujue raisi yuko wapi rais ndo center of power

Hata hapo bongo moja ya jambo lililowatatiz sana wafanya mapinduzi wa 1964 walishindwa kujua rais yuko kumbe nyerere alikimbilia kigamboni mji mwema huko kwenye nyumba rais akawa ana toa order za kijeshi na nchi kutoka kigamboni mji mwema ila wangejua yupo kigamboni shughuli ilikuwa imeisha rais wa nchi wakati ule angekuwa bwana elisha kavana maana ndo aliongoza mapinduzi ya 1964

Pole kwake.
 
Jamaa niliona ni kama mtu ambae hakua na elimu yoyote juu ya mapinduzi ya kijeshi na hakua na connection aina yoyote ile nadhani Hadi Kwa wananchi,
Ndio maana nilisema Congo wana jeshi maandazi. Huyo bwana aliwahi kuwa afisa wa jeshi uko Congo na ukilaza wake huu. Can you imagine wanajeshi wa kawaida wana akili chache kiasi gani.

Majambazi wa Arusha wana uwezo mkubwa kuliko hao wavuta bangi waliofanya mapinduzi kwa kuteka nyumba ya Rais. Na Rais mwenyewe wala familia yake hawapo
 
Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe kilipigwa marufuku nchi mbalimbali maana ukisoma hii ukaelewa vizur raisi unamtoa mchana kweupe bila usumbufu wa damu kumwagika

Turudi congo kwenye jaribu la kumtoa rais congo jana na bwana malanga raia marekani na congo alikuwa kiongozi yeye pamoja na mtoto wake ameonesha dhahiri hana elimu ya kutosha kuhusu mapinduzi ya kijeshi makosa aliyo fanya ni haya

1. Aliteka bunge
Bwana malanga jana kafanya kosa kuteka bunge ambako sio center ya power ya congo hili ndo kosa kubwa bwana malanga alifanya ndo maana hakufanikiwa bunge kwenye mapinduzi ya kijeshi sio issue labda angeteka bunge likiwa bado lina wabunge ndani na kuwafanya wabunge wampige kura ya kutoa rais lakina bado angeshindwa pia .. hadi sasa sikuona umuhimu wa kuteka bunge

2. Hakujua rais yuko wapi
Bwana malanga alikosea kujua rais ya congo Felix Tshisekedi unapofanya mapinduzi ya kijeshi lazima ujue rais yuko wapi na best time huwa rais akiwa nje ya nchi yaani unampokoja uraisi akiwa huko huko nje ya nchi mfano iddi amini na obbote, john okello pia alijua sultan yuko ikulu so twende huko huko sultani wa znz akakimbia bwana malanga wa congo hili hakujua raisi yuko wapi....yaani lazima ujue raisi yuko wapi rais ndo center of power

Hata hapo bongo moja ya jambo lililowatatiz sana wafanya mapinduzi wa 1964 walishindwa kujua rais yuko kumbe nyerere alikimbilia kigamboni mji mwema huko kwenye nyumba rais akawa ana toa order za kijeshi na nchi kutoka kigamboni mji mwema ila wangejua yupo kigamboni shughuli ilikuwa imeisha rais wa nchi wakati ule angekuwa bwana elisha kavana maana ndo aliongoza mapinduzi ya 1964

3. Radio/tv ya taifa na kiwanja cha ndege
Bwana malanga aliteka bunge akasahau radio ya taifa kiwanja kikuuu cha ndege ili kuifunga nchi kwa muda kisha kutangaza yeye ndo raisi kupitia radio ya taifa na tv pia kuwapa taarifa askari wote watulie kuwa kila kitu kipo under control, badala yake yeye akiwa bungeni congo bwana malanga akatumia facebook kutangaza mapinduzi mjinga

4. Kutokuwa na mawasiliano na wakuu wa kambi za kijeshi hasa makanali
Wakuu wa kambi za kijeshi huwa mara nyingi ndo wanapokea order za kijeshi kutoka wakubwa wa kijeshi kama mabrigedia na majenerali kutoa wana jeshi na silaa ziende eneo fulani mara nyingi huwa ndo wahusika wakuu wa kambi husika, sasa bwana malanga ilibidi apate mawasiliano na hawa watu na kuwarubuni kuwa akifanya mapinduzi atawapandisha vyeo na kula mema ya nchi endapo watakaa order kutoka kwa wakubwa zao, hapo ilibidi hadi macaptain na acheze nao hasa wa kambi za jiran ambapo mapinduzi yanafanyika.

Sasa yeye kaanda kama kichaaa bila kuwa na connection na watu ndani ya jeshi la congo hasa wakubwa wa kambi na macaptain mbali mbali

Njia hii aliitumia gadafi kumpindua yule mfalme mwaka 1967 order za kijeshi makambini zilifika wakuu wa kambi wakagoma kutoa silaa wala wanajeshi

5. Confusion barriers...vikwanzo uzushi barabarani ....
Pia alikosea kuweka Confusion ilibidi askari wake wote wavae nguo za jeshi la congo kisha kuweka barriers mbali mbali za kijeshi ili misafara ya kijeshi ikifika hapo kweye barriers inasimamishwa inaambiwa ikulu kila kitu kiko sawa haina haja ya kwenda mara nyingi Confusion ndo njia pekee huwa inatumika kuzuia wanajeshi wanaowahi kwenda kumuokoa raisi wasifike kwa wakati

Narudi tena kitabu cha kufanya mapinduzi kiliandikwa na C.I.A ili kuwasaidia wafanya mapinduzi wakati ule marekani ilikuwa iko busy kupindua serikali mbalimbali dunia nashuruku na mimi copy yake niliwahi soma kidogo kwa jina practical handbook for coup detat

Pia 70% mapinduzi duniani hufeli 30% ndo hufanikiwa yakipangwa vizuri

RIP malanga umekufa kwa ujinga wako elimu muhimu kabla kufanya japo lolote na lazima uone lipo ndani ya uwezo wako sio unakurupuka tu​
Pole pia mdogo wake Malanga🤣
 
"badala yake yeye akiwa bungeni congo bwana malanga akatumia facebook kutangaza mapinduzi mjinga"🤣👆
Screenshot_20240520-162513_1.jpg
 
maana ukisoma hii ukaelewa vizur raisi unamtoa mchana kweupe bila usumbufu wa damu kumwagika
Vipi ,hawa nao hawakujipanga?? Huwa inatokea tu hata kama umejiandaa vizuri!

Bay of Pigs Invasion​

The Bay of Pigs Invasion in 1961 was a failed attack launched by the CIA during the Kennedy administration to push Cuban leader Fidel Castro from power.

Since 1959, officials at the U.S. State Department and the CIA had attempted to remove Castro. Finally, on April 17, 1961, the CIA launched what its leaders believed would be the definitive strike

Back
Top Bottom