Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,555
52,293
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas.

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je, wanakuwa wanapigana?
Je, wamekimbia na kuacha familia yao?
Je, wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je, Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

Bado hainiingii akilini. Yaani kweli wewe mwanaume unajua kabisa kesho au Wiki ijayo kutafanywa mashambulizi mji wenu alafu uache familia yako eneo hilo. Kweli.

Mbona watawala wao hawakubali familia zao ziwe sehemu isiyo salama? Kwa nini Watu maskini na wajinga ndio huwa wahanga wakwanza kwenye vita?

Karibuni kwa mjadala
 
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas..

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je wanakuwa wanapigana?
Je wamekimbia na kuacha familia yao?
Je wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

😅 😅 😅 😅

Wameshakubali hawana uwezo wa kupigana vita na wanaume wa Israel wameamua kuwaweka wanawake, watoto na wagonjwa mbelel
 
Katika majanga yoyote makubwa wanawake na watoto huwa waathirika wa kwanza hii ni kawaida haijalishi mtakuwa makini kiasi gani ila waathrika wakubwa watakuwa wanawake na watoto Cha msingi tuombe amani ipatikane haraka

Mkuu nakuelewa.
Ila naomba unieleweshe.

Ndege vita ipo angani usiku inarusha mabomu kwenye apartment za Gaza. Ajabu wanaokufa ni wanawake na watoto. Je wanaume huwa wanakuwa wapi muda huo na sio wanajeshi na hawapo vitani?
 
Wanakuwepo wakipigana wakijaribu kulinda familia zao na wengne huwa wanakua mafichoni kwa hofu wao na familia zao , tamaa ya Israel na washirika wake kukalia maeneo hayo ya wapalestina ,ndio imesababisha yote hayo.
 
😅 😅 😅 😅

Wameshakubali hawana uwezo wa kupigana vita na wanaume wa Israel wameamua kuwaweka wanawake, watoto na wagonjwa mbelel

Kwa hiyo hao wanaume ndio Hamas?
Mimi najua Hamas ni jeshi sio Raia wanaume wa Gaza. Kumbe ni tofauti na nijuavyo
 
Wanakuwepo wakipigana wakijaribu kulinda familia zao na wengne huwa wanakua mafichoni kwa hofu wao na familia zao , tamaa ya Israel na washirika wake kukalia maeneo hayo ya wapalestina ,ndio imesababisha yote hayo.
Hapo vita haiishi sababu hawa wanaua Wale then wale wanapata hasira ya kulipiza kisasi na kusonga mbele .
 
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas..

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je wanakuwa wanapigana?
Je wamekimbia na kuacha familia yao?
Je wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

Bado hainiingii akilini. Yaani kweli wewe mwanaume unajua kabisa kesho au Wiki ijayo kutafanywa mashambulizi mji wenu alafu uache familia yako eneo hilo. Kweli.

Mbona watawala wao hawakubali familia zao ziwe sehemu isiyo salama? Kwa nini Watu maskini na wajinga ndio huwa wahanga wakwanza kwenye vita?

Karibuni kwa mjadala
Sasa wewe unashangaa Hamas wanaume kujiuliza Mungu wao mwenye mikono ya kulia tu anaabudiwa kwa nidhamu, mashindano na usafi wa hali ya juu yuko wapi? Mbona hawasaidii mipalestina wakati yeye ndo muweza wa yote tuliona walivyoua wayahudi tarehe 07/10 walikuwa wakibweka na kushangilia kwa kumtukuza
 
Vita pia ina utaratibu wake. Hutakiwi kupiga sehemu za makazi. Israel hawachagui pa kupiga. Wanapiga hadi kambi za wakimbizi ndio maana unaona kuna vifo vingi vya wanawake na watoto.
 
Sasa wewe unashangaa Hamas wanaume kujiuliza Mungu wao mwenye mikono ya kulia tu anaabudiwa kwa nidhamu, mashindano na usafi wa hali ya juu yuko wapi? Mbona hawasaidii mipalestina wakati yeye ndo muweza wa yote tuliona walivyoua wayahudi tarehe 07/10 walikuwa wakibweka na kushangilia kwa kumtukuza
Tukiachana na hayo ya miungu.
Hivi wewe una mke na watoto unajua kabisa kesho au Wiki ijayo mji unaoishi patashambuliwa. Utaacha familia yako?
 
Back
Top Bottom