Tetesi: Kuna Redio inawamendea B12, Adam Mchomvu na DJ D Ommy

Kusema kweli Clouds Fm nimeanza kuiskiliza 2011 hapo ndo nimeanza kujielewaelewa natoka shule nakaa karibu na radio lakin had leo hii ubora wake uko palepale nimejaribu kusikiliza radio zingine zimenishinda naona kama wanacopy contents za Clouds.

Bdozen alipoenda Efm nikajua Xxl imeisha ila baada ya muda mfupi yule Kenedy alifiti vizuri sana yan siku niliyoskia Dozen anarudi nikaona ni kama anakuja kuharibu kipindi.

Mtu ambae anaweza kuachana na Clouds na pengo likaonekana kwa sasa ni Millardayo jamaa amekua brand kubwa sana anaweza kusimama bila kuajiriwa media yoyote
Yeah ni kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom