DJ D Ommy aondoka Clouds

Ndo nani huyo wakuu maana wengine maisha yanatuchanganya mpaka sio poa
 
Jamaa kahamishiwa kwenye kipindi cha jahazi kaona hawezi kwenda kupiga nyimbo za kizee kule
 
Kwahiyo hizi stations mpya hazina uwezo wa kutengeneza vipaji vipya hadi majina yanakuwa ni yale yale huko kwenye media. Hii inchi siku hizi upumbavu umekuwa mwingi sana aisee.
Ili nalo la msingi. Ubunifu zero. Ndio maana redio nyingi vipindi vinafanana kuanzia maudhui, utangazaji hadi muda.
 
Hivi kuna mtu bado ana sikiliza redio siku hizi?

Binafsi nikisikiliza redio sijawahi kupata kitu kipya ndio maana niliacha kusikiliza.

Ungeniambia bando limepanda tena bei ndio ningeshtuka tena ningeanzisha maandamano kabisa.
 
Back
Top Bottom