BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,441
- 8,261
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya mazungumzo na baadhi ya watangazaji hao ili kuwakwapua.
Kifupi kuna utambulisho mkubwa Unaweza kufanyika wiki ijayo. Muda huu vikao vinafanyika Mawinguni kuzuia maharamia wa meli ya Wagiriki wasije kuzamisha JAHAZI na kutokomea na "Treasure' Inadaiwa kuwa sio watangazaji wote walifurahia kutolewa XXL kwenda JAHAZI, biashara yao ipo kwenye burudani zaidi na sio Vipindi vya jioni na baadhi wanataka kipindi kibadilishwe jina ili kutengeneza 'Legacy' yao yani kifupi walevi wa ile bar wanaogea sana hadi naanza kuwaona waongo, Mawingu ni chama kubwa ni ngumu kutetereka sababu wanajua wachokifanya.
Walevi wapuuzwe.
SANUKAnaCHAPO
@chapo255