Ajira bila kupitia Utumishi

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,616
5,533
Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
 
Kama una shida ya kazi na huko utumishi zinatangazwa kazi si uomba kama wanavyofanya wenzio.. Au unataka shortcut mkuu?

Basi tafuta connection Ila ukweli Ajira nyingi Sasa zinapitia huko.

Labda ujaribu huko Halmashauri, utendaji wa mtaa.
 
Back
Top Bottom