upweke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

    UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni tafsiri halisi ya maiti inayoishi. Utoto ni raha kwa sababu utoto unahusisha ushirikiano wa mtoto...
  2. Equation x

    Namna ya kupunguza upweke nyumbani

    Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo. Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kuingia ndoani na MTU usiyempenda kutakuzidishia Upweke

    KUINGIA NDOANI NA MTU USIYEMPENDA KUTAKUZIDISHIA UPWEKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuishi mwenyewe ni kazi, kunachosha, kunakufanya uwe mpweke. Hapo Maisha yanapoteza mvuto. Lakini kuishi na Mwenza usiyempenda na asiyekupenda ndio kubaya zaidi na kunaleta upweke zaidi. Ninaposema...
  4. hermanthegreat

    My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  5. Da Vinci XV

    Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  6. BARD AI

    Utafiti: Madhara ya Upweke ni sawa na Kuvuta Sigara 15 kwa siku

    Utafiti uliofanywa na Ofisi ya Mkuu wa Upasuaji kutoka Idara ya Afya na Huduma za Binadamu ya Marekani umeonesha kuwa watu wanaoshi kwa Kujitenga au kukaa kwa Upweke unaotakana na kukosa Furaha wako hatarini kufikia uamuzi wa kujiua kwa 29%. Imeelezwa kuwa kutojichanganya na watu wengine katika...
  7. Cute Msangi

    Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Wazima jamani Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
  8. Chawa wa lumumbashi

    Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
  9. Gwappo Mwakatobe

    Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  10. Chizi Maarifa

    Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke

    Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu. " Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia...
  11. B

    Mwanamke yoyote aliye mpweke kama mimi tuungane na kupeana kampani

    Habari za jioni ndugu zangu, Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi. Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka nimechoka sasa, naomba mwanamke yoyote aliye mpweke kama Mimi tuungane na kupeana kampani, umri wowote...
  12. FlyingDutchman

    Vidokezo vya kuingia katika mahusiano yenye afya 2023

    Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well. This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni...
  13. FlyingDutchman

    Simulizi: Miaka 25 ya upweke ilivonifanya kuwa binadamu wa tofauti

    Kwasababu fulani fulani hii story imeondolewa Itaendelea............
  14. NetMaster

    Ni bora uwe tajiri mwenye upweke au masikini usie mpweke?

    1. Uwe tajiri mwenye bilioni+ yako lakini ni mpweke, watu pekee unaoweza kuwa nao ni wale wa kununua kama bidhaa ama kujifanya wapo karibu na wewe ili wafaidi pesa zako (machawa, wapambe, gold diggers) 2. uwe n mshahara wa laki 2 lakini una marafiki na ndugu kibao wanaokujali licha ya hali...
  15. Equation x

    Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Wazazi wengi, wanajitahidi sana kusomesha watoto wao ili huko mbeleni wawe na maisha mazuri au wasiwe tegemezi. Watoto wakishahitimu, uanzisha maisha yao, kwa kujitegemea pamoja na kuwa mbali na wazazi wao; wakuoa wataoa, na wakuolewa wataolewa. Changamoto inayojitokeza, ni wazazi kubaki...
  16. B

    Nahitaji Mwenza kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa

    Habari zenu ndugu zangu!!? Mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nimekuwa sipo katika mahusiano Kwa muda mrefu kiasi na sasa nahitaji nipate Mwenza Kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa. Natamani Sana nipate mtu sahihi ambaye tutapenda tutakuwa marafiki she is...
  17. H

    Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

    Thread closed. [emoji1374]
  18. miles45

    Hali ya upweke, kutotaka mpenzi au bugudha inasababishwa na nini?

    Kuna ile hali mtu hufika hahitaji date, hautaki mapenzi, hapendi, Unakuwa hauna nyege, haupendi mastory Sana. Yaaani una kuwepo tu na maisha yako. Hivi hii kitaalamu inaitwaje....? Na hutokana na Nini....? Na faida na hasara zake ni zipi....? Nawasilisha
  19. N

    Nimeanza mwaka nikiwa single

    Nimeanza mwaka nikiwa single. Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka! Sihitaji...
  20. britanicca

    Upweke huu ni hatari…

    Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!! Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa...
Back
Top Bottom