pesa mtandaoni

  1. HONEST HATIBU

    jinsi ya kujiajiri kupitia blog

    Tunatengeneza blog nzuri na kukuunganisha na matangazo ya kukulipa maishani kwa idadi ya wanaosoma blog yako. Unapata blog kwa sh elfu 19 ikiwa na. Sub domain ya dotBlogSpot Au lipia elf 30 upate blog pamoja na domain ya dotCom. Kumbuka hutalipia tena maishani. Bali utakuwa unaingiza pesa kwa...
  2. J

    PesaX / CashX (Singularity) wanatumia taarifa binafsi za watu na wanakiuka mamia ya sheria Tanzania

    Ndugu zangu wa Tanzania, Kuna kampuni inayotoa huduma za kukopesha pesa mtandaoni ambayo inajulikana kwa majina kadhaa katika aplikesheni zake, ambayo kwa ujumla hutumia jina la "Singularity". Sijawahi kukutana na kampuni inayoendeshwa hovyo kama hii! Nimekuwa nikikopa pesa mara kwa mara kutoka...
  3. DON YRN

    SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  4. D

    Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  5. Side Makini Entertainer

    Sababu 10 za Kuamini Mungu Yupo

    Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema, sina ushahidi wa kumthibitishia asiyeamini uwepo wa Mungu hata asiweze kuutafsiri vinginevyo; kama...
  6. plan z

    SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  7. Kainetics

    Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

    Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani...
  8. napenda movie

    Kuna uwezekano wa kupata pesa mtandaoni......?

    Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet.......... Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
  9. NYUNDO YA MOTO

    Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

    Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue. Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo...
  10. Masokotz

    Unatengenezaje Pesa Mtandaoni?

    Habari za wakati huu waungwana; Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na uhaba wa rasilimali haikuwa rahisi sana mimi kutambua ni kwa namna gani.Hata hivyo niliendelea...
  11. Nyumba Nafuuu

    Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

    Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA... Kutazama Ramani Zake za Ndani +255-657-685-268 WhatsApp 1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50 2 ==> vyumba 3...
  12. J

    Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

    Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao Kuna kitu nataka nikushauri kijana mwenzangu japo kwa uchache tu. Binadamu tumeletwa duniani ili tuishi na tufurahie maisha lakini huwezi...
  13. S

    Tusaidiane! Kosa linakuwa wapi kununua mtandaoni?

    Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni. Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
Back
Top Bottom