Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

jina langu

Member
Jul 16, 2017
54
97
Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao

Kuna kitu nataka nikushauri kijana mwenzangu japo kwa uchache tu.

Binadamu tumeletwa duniani ili tuishi na tufurahie maisha lakini huwezi kuyafurahia maisha Kama huna amani au muda wote una mawazo na vyote hivi huja Kama mtu huna pesa, naweza sema pesa Ina nafasi kubwa Sana katika maisha ya kila mtu, na mtu akishika pesa au akiwa na mfumo mzuri wa kumpatia pesa basi huyo mtu kuwa na amani ni rahisi zaidi kuliko ambaye Hana pesa, utaheshimiwa Kama unapesa,utakula unachohitaji kwa muda huo, itasaidia ndugu na wazazi kupitia pesa lakini ni namna gani tunaweza kujijengea tabia ya kupata pesa.

1. Epuka makundi ya watu yote ambayo hayana mpango wala malengo katika maisha

2. Nenda au hamia sehemu ambayo hawakujui ambako utakuwa unaweza uza hata mishikaki bila aibu ogopa kuishi sehemu ulipokulia Kama hujafanikiwa hutaweza kuendelea

3. Unapoamka asubuhi usithubutu kwenda kazini kama hujapangilia ratiba ya hio siku na matumizi Wala usitembee na pesa mfuko Kama haipo kwenye bajeti kwa kizingizio cha dharura

4. Usiwe mtu wa kawaida (yaani usifanye mambo kimazoea au kikawaida fanya vitu ambavyo hata wengine wanakushangaa, usije kukatishwa na hofu ili mradi hicho kitu hakitoi uhai wako lakini kina msaada wa kukuingizia pesa fanya lolote liwezekanalo upate mtaji kama huna, unaweza kuomba kwa mtu ,kopa,uza chochote,nenda hata kwa waziri ndani kwake lia Sana akusaidie hata kianzio kwa ufupi fanya chochote kinachokuja mbele yako ili mradi upate pesa kamwe kwako mtaji usiwe kikwazo)

5. Watumie watu wengine kukuingizia faida mfano Kuna vijana wengi mtaani hata kupata buku kwa siku shida watumie hao tafuta laki au laki mbili na majiko ya kuazima au kukopa anzisha vigenge vitatu au vinne vya kuchoma mishikaki waajiri vijana hao wamtaani walipe kwa kamisheni au buku mbili mbili baada ya mauzo n.k

6. Fanya hata kazi ya udalali boresha kwa kiwango unachokihitaji ikiwezekana sajiri ili kuongeza uaminifu kwa watu panga ofisi upande unakuwa unalala hapohapo Anza kutafuta connection n.k

7. Tafuta Jambo lolote ambako unalijua nje ndani Anza kufundisha watu Hilo Jambo watu kwa pesa n.k

Hapa chini nitaenda kueleza kazi ambazo unaweza kufanya kwa kutumia simu au computer ambazo ni online job

I) Kazi ya kwanza inaitwa picoworkers

Hii ni site ambayo unajisajiri na kuona kazi ndogondogo ambazo unakuwa unafanya mfano kulike page za Facebook, kufollow mtu Twitter, kuretweet post za watu, kusign up n.k kila kazi unaweza fanya na ukalipwa Dola 0.10$ na unakamaliza kwa dakika 2 kwa siku ukifanya vikazi 100 tayari umeingiza chochote.

II) Kazi ya pili inaitwa adsterra

Hii ni kazi nzuri Sana na hii naifanya mpaka Sasa maana yenyewe unatengeneza link ambayo hio link unakuwa unasambaza kwenye page za Facebook na kokote unakotaka yaani mtu akiclick tu hio link wewe unalipwa yaani mtu ni kuclick tu haina haja ya kufanyaje ko utakachofanya wewe ni kutafuta maneno ambayo yatamshawishi tu mtu a click tu hio link haina haja ya kuwa na website au blog ni wewe na simu yako basi na haihitaji mtaji wowote kuanza. Malipo yanalipwa kutokana na CPM mfano siku hio CPM ikiwa 130 Ina maana waki click watu 1000 katika hio link basi utalipwa Dola 130 hesabu yake ni cpm×viewers gawanya kwa 1000 na CPM huongezeka au kupungua kutokana na nchi unazoshare na idadi ya viewers kwa siku

III) AFFLIATE MARKET
hii hapa ni kazi ambayo inahitaji mtu awe na uwezo wa kushawishi Sana na imegawanyika sehemu kuu mbili sehemu ya kwanza unaweza ukatumia ku reffer watu wanunue bidhaa au wajiunge katika huduma Fulani

Mfano wa site ambazo MTU unaweza ukajiunga kwa ajiri ya kuuza bidhaa ni
  • Clickbank.com
  • Amazon
  • Alibaba
  • Jvzoo
  • Commission junction n.k
Lakini upande wangu nimejiunga na affliate ya broker wale wa forex wananipata vizuri hapa na hii niliyojiunga nalipwa kila siku saa Tisa usiku kuanzia Dola 8 nakuendelea maana nalipwa kutegemeana na niliowaunga wanavyotrade ambayo approximation ya pesa nayolipwa kwa MWEZI si chini ya 500000 hio nifanye kazi au nisifanye

Ushauri Kama una pc au simu fanya online business

kwa usaidizi nicheki WhatsApp 0656958801

Hapa chini nimeweka screenshot ya vipesa nilivyolipwa usiku wa kuamkia Leo zaidi ya dola 9

Na siku zingine huwa nalipwa Hadi dola 30 kwa siku

Japo wapo wengine hulipwa zaidi ya hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20200711-154842.jpeg
    Screenshot_20200711-154842.jpeg
    71.3 KB · Views: 308
Unavosema mtaji mkuu kumbuka ayo yote uwez tumia bila kuwa na bundle iv unajua kuna mtu hana uwezo ata wa kuuunga bundle la 500? Usichukulie rahis ivo kila kitu kina challenge yake ishu ni kujitosa tu ukiamua kufanya fanya hamnaga kazi ndogo kwenye hii dunia.
 
Nataka nianzishe you tube Chanel he simu za kiwango cha techno na infini ya laki 200000 ina ubora na kufaa kwa hizo kazi.msaada wako
 
Unavosema mtaji mkuu kumbuka ayo yote uwez tumia bila kuwa na bundle iv unajua kuna mtu hana uwezo ata wa kuuunga bundle la 500? Usichukulie rahis ivo kila kitu kina challenge yake ishu ni kujitosa tu ukiamua kufanya fanya hamnaga kazi ndogo kwenye hii dunia,
Mkuu, acha uzembe. Kama mtu unamiliki simu janja. Utashindwaje kupata bundle la jelo hata kwa siku moja tu ili uifanye hiyo kazi
 
Siyo forex mimi ninapiga kazi freelancer.com na Upwork.com hii ni earning ya last week na kufikia kesho jioni itakuwa imeongeza na kufika 220, ikija fika mwisho wa mwez itakuwa inachezea kama dollar miatano au miasaba. Freelancer toka mwezi uanze nina dollar 320 ikija fika mwisho wa mwezi nako inaweza kuwa kama dollar 600 au zaidi.
Sema huko ni kazi kweli siyo kuclick linkView attachment 1504066
Kila la kheri mkuu, mi hizi zilishanishinda, ila watu wanadanganyana sana kuwa kumake money huku ni rahisi wakati kiuhalisia mtu anatoka jasho si mchezo!
 
Mkuu najua ninachokiongea cpm inatofautiana nchi na nchi pia cpm unakuwa inapanda kutegemea na traffic unaoingiza kwa siku muda mwingine cpm inafika Hadi 300 kwa upande wangu lakini ukiwa unaoingiza viewers 10 Tena kwa nchi Kama Tanzania cpm yake itakuwa 0.001 na wakati nchi Kama marekani au south cpm inasoma Hadi 0.2$ kwa traffic mmoja ambapo ni Dola 200 kwa viewers 1000 na aliyeshare nchi Kama Tanzania hao viewers 1000 ni Dola 1 so uko sahihi lakini inahitaji elimu zaidi how it works
Huenda hata hujui unaloongea umeanza hata kunitia mashaka hata kama hiyo ela unaipata. Hakuna wanaolipa zaidi kama adsense nao ahwalipi hiyo ela hata kama viewers ni wa Marekani otherwise akina Millardayo wangekuwa wanatengeneza bils of tshs kila mwezi.

Hakuna wanakoweza kukulipa USD 200 kwa viewers 1000 hata watoke marekani.

Kwa viewers 1000 utapata 0.5 mpaa 3$ kutegemea na viewers wametoka wapi japo nako kuna factors nyingine zaidi

Na kumbuka CPM ni kifupi cha Cost Per Thousand. Nasistiza hakuna monetization yoyote inayolipa CPM ya $200 au 300 mfano adsense kwa youtube nchi inayoongoza ni Maldives ina CPM ya $15 wakati USA ni $12. Mkuu huenda hujapokea hata pesa umeandika tu au unajaribu kuandika usilolijua.

Ingekuwa hivyo basi akina diamond kila video hawakosi wa 30,000 kutoka USA wameitazama basi anekuwa kila video anavuta ela ndefu sana wangekuwa na maela mengi sana. Tena CPM pia achillia mbali location pia niche ya content ina matter.
 
Hakuna njia unayoweza kutengeneza pesa bila mtaji unless otherwise UTAPELI, nmekuja speed nikadhani kuna fursa ya kupiga hela kumbe yaleyale, motivational speaker bana tofauti yenu na ccm ni kuwa tu ninyi hamna sare ila wote matapeli.
Ha ha ha..
 
Adsterra ni alternative ya adsense huwezi kulipwa 130 kwa clicks 1000 ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa labda kama ulipwe 1.3$.
Kabisa! Hizo site zinalipa kiasi kidogo sana per click...kama adstera nadhsni wanalipa $0.0013 kwa kiwango chani per click ambayo ni sawa na $1.30 per 1000 clicks! Jamaa alisahau kuweka . katikati ya $1.30 watu wakashtuka!
 
Back
Top Bottom