Bei ya Hisense smart tv
32" - 380,000
40" - 580,000
43"- 650,000
50" - 899,000
55"- 1000,000
58"- 1,200,000
Warranty mwaka mmoja (miezi 12)
Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge.
WhatsApp number 0753430357
Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni.
Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
Leo jumatatu katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV kinachoongozwa na Farhia Middle aliyekuwa Waziri wa Kilimo na pia kada maarufu wa CCM amekiri kuhujumu katiba ya Warioba ambayo ilipendekeza serikali tatu.
Itakumbukwa Kimiti alikuwa mjumbe wa Tume ya Warioba iliyozunguka nchi nzima kutafuta...
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.
Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.
NHIF amehusika kukuza hospitali...
Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa?
https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
Waslaam wana JF
Kwa wale wazeee wa ma-lovey dovey dovey hii ni sikukuu pendwa sana kwenu
Binafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao
Asanteni
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali.
Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi...
Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu.
Mfano wa kwanza
Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na...
Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa).
Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
Kutokana na tatizo la ajira kuwa kubwa tunashuhudia vijana wengi kujiingiza katika shughuli mbalimbali wengi wapo kwenye bodaboda na kundi kubwa pia limejiingiza kwenye udalali wa aina mbalimbali.
Kwa jinsi bodaboda wanavyotambuliwa kwa vyombo vyao tunaiomba serekali yetu iwatambue madalali...
1. Morocco
2. DR Congo
3. Zambia
Kwanini?
Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi.
Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau.
Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.