mchora katuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UKWAJU WA KITAMBO

    Mchora katuni maarufu "Oscar Makoye"

    OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU TANZANIA. ______________________ Katika pita pita zangu nime bahatika kukutana na moja Kati ya wachoraji maarufu wa katuni Hapa Nchini Tanzania kwenye mangazeti mbalimbali ya udaku na siasa na huyu si mwingine ni "Oscra makoye" ... Naimani jina hili sio ngeni...
  2. Msanii

    Mchora katuni Oppter afutiwa kesi, akamatwa tena na polisi

    TAARIFA YA AWALI. Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay...
  3. N

    Hivi huyu mchora katuni ndo yule aliyekula kibano police oysterbay?

    Naona karudi kwa kasi kudhalilisha wapinzani, maana aliingia anga za kibabe akatulizwa kibabe pia, au siyo yeye huyu?
  4. sky soldier

    Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

    Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora. Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita...
  5. Msanii

    Mchora katuni Mtanzania, Mohammed Jumanne (Meddy) ashinda Ufaransa

    Mchoro wa katuni ulioandaliwa na msanii ndugu Mohammed Jumanne almaarufu Meddy kutoka Tanzania imechaguliwa kuwa Nembo ya Ushirikiano mpya kati ya Afrika na Ufaransa (New Africa-France Summit) uliofanyika jana Oktoba 08, 2021 nchini Ufaransa Meddy ni mchoraji katuni wa kujitegemea hapa nchini...
  6. Msanii

    Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

    Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi...
Back
Top Bottom