chumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Ni sahihi kumuwekea “teenager” TV chumbani kwake?

    Kwakweli utandawazi wazi umeharibu mila na desturi zetu. Ni kawaida watoto kuangalia vipindi na sinema wanazopenda hata kuna wakati unakosa nafasi ya kuangalia taarifa ya habari. Watoto kuwa na uhuru wa kuangalia vipindi vyao vyumbani mwao wanaupenda sana. Lakini pale mtoto anaposhindwa...
  2. Chinga One

    Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

    Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule, Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

    Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
  4. M

    Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

    Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio...
  5. mugah di matheo

    Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

    Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu. Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana...
  6. Analogia Malenga

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi. Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
  7. GENTAMYCINE

    Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    ANGALIZO Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
  8. May Day

    Kundi la Nyuki limeingia chumbani, nawatoaje?

    Nimetoka kwenye mishughuliko yangu naingia ndani nakaribishwa na mivumo ya sauti za Nyuki zaidi ya kama mia moja hivi. Nitumie mbinu gani ya kuwatoa bila kuwaua, na kama ni kuwapulizia dawa wafe basi iwe ni chaguo la mwisho.
  9. M

    Nimemuota jirani yangu akiwa chumbani kwangu usiku

    Ni tukio la kushangaza kidogo. Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka! Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo...
  10. The Garang

    Mpenzi wa rafiki yangu kabanwa na pumu akiwa chumbani kwa jamaa

    Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu. Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama". Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu. Ilikuwa majira...
  11. M

    Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

    Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto) Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke" Tupeane maujanja ni vitu gani vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake...
Back
Top Bottom