Search results

  1. Alkam Alkam

    Natafuta Toyota Premio ya kununua, Model ya kati

    Husika na kichwa hapo juu, natafuta gari aina ya Premio model ya kati wengi tumezoea new model. Au IST lakini pendekezo la kwanza ni Premio. Karibuni sana OFFER YANGU NI MILLION KUMI NA MOJA (11,000,000) Napendelea sana kusiwe na dalali. 0787757175 WhatsApp/call/sms.
  2. Alkam Alkam

    Ninahitaji Nyumba ya kupanga

    Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4) Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira, Tabata kimanga,Tabata...
  3. Alkam Alkam

    Ukichelewa kulipa kodi, mwenye nyumba anatakiwa kukupa muda gani ili uondoke?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania [emoji1241] ukichelewa kulipa kodi kwa week moja mwenye nyumba anatakiwa kukupa muda gani zaidi ili uweze kutoa vitu? Swali kutoka Dm, Mwenye ujuzi tafadhari, Au uelewa atusaidie.
  4. Alkam Alkam

    Benz E Class or C Class

    Natafuta Benz ya E/C 200 ikiwa nyeusi itapendeza zaidi,Mfano wake Kama huu iwe 2014 au 2015 Iwe na number au bila number offer ipo 45 million 0787757175 Ya muonekano huo Pungunza password Toa connection kwa muusika ya maji utapata.
  5. Alkam Alkam

    Ninatafuta gari aina ya Toyota Allex kwa ajili ya kununua

    Husika na kichwa hapo juu ninatafuta gari ya kununua Toyota ALLEX number kuanzia DY offer ipo 12 ubaoni [emoji404]:Kama ni dalali ukija sema Kama ni owner Pia ukija sema punguza maneno matendo yawe mbele, Nyeusi itapewa kipaumbele zaidi Ninajua gari ni mjuzi hasa wa kukagua. 0759117175...
  6. Alkam Alkam

    Mwenye Prado 120 Au Unamjua Boss Alienayo Nipe connection tufanye kazi

    Husika na kichwa hapo juu,Natafuta boss Mwenye gari Prado 120 tufanye biashara ya kuikodisha Gari Hii hua inalipwa kwa siku na mafuta Mara nyingi mteja ndo hua anaweka Sie hua tunachaji Bei ya gari na Dereva Sasa hivi kazi zipo na kazi inaweza kua ya siku mbili tatu nne tano na...
  7. Alkam Alkam

    Fundi Wa Mabango Na Decorations

    Me ni Fundi wa Alcobond Napatikana Sinza Mori ndo ofisi yangu ilipo karibuni sana hizi ni baadhi ya kazi zangu mkoa wowote nafika Mawasiliano Yangu 0759117175 0717751175
  8. Alkam Alkam

    Mimi ni dereva, natafuta kazi

    Kama kuna mtu anatafuta driver Yupo mzoefu na mchapakazi kwa Mawasiliano zaidi piga 0717751175 Naendesha gari za aina zote na popote naenda karibuni sana.
  9. Alkam Alkam

    Tunatengeneza mabango ya designs zote

    Tunatengeneza Mabango Ya Designs zote Mfano Banner 3D 2D n.k Mfano wake upo Chini, tunapatikana Sinza Mori Karibuni sana size na bei ni tofauti kulingana na ukubwa wa bango unalohitaji. Kwa Mawasiliano zaidi piga 0717751175 Karibuni Sana.
  10. Alkam Alkam

    Kwa wale mnaohitaji huduma ya kutengenezewa mabango pita hapa

    Ni kikundi cha vijana tunashughulika na utengenezaji wa mabango ya 2d, 3d, banner, write box tunapatikana sinza mori jirani na Duka la NATTY Au waweza kutembelea ukurusa wetu wa Instagram Hd_signage_mabango Mfano wa mabango hapo chini ni ya 3d yanaukubwa tofauti na bei inatofautiana pia...
  11. Alkam Alkam

    Kama unataka bango la 3D pita hapa

    Tunatengeneza Mabango Ya Designs zote 3D,2D,Banners n.k ambayo unajua au unaitaji ofisi zetu zipo sinza mori karibu na Bigbon kwa maelezo Zaidi Piga Simu 0759117175 Sampo chini Karibuni Sana.
  12. Alkam Alkam

    Natafuta gari ya kununua

    Kichwa chajieleza natafuta gari ya engine 1500 kushuka chini offer yangu ni million nne (4,000,000) Piga simu au whatsapp 0759117175 Ukiwa Owner itakua vzr zaidi.
  13. Alkam Alkam

    Viongozi wa Kivule Paisheni Sauti Katika hili

    Kuna Hospitali imejengwa na inaendelea kujengwa huku Kivule Frem Kumi Kwa jina Nimeskia inaitwa AMANA Miundombinu ya barabara kutoka kitunda kituo kinaitwa muembeni inapo ishia rami kuja mpk hospitali hairidhishi barabara ni mbovu na hapana kilomita 10 kufika hospital Wagonjwa Wanaoletwa...
  14. Alkam Alkam

    Dereva pitia uzi huu upate moja mbili

    Madereva wengi wanaangaika kupata ajira kwa kupitia fani zao za udereva embu pitia hapa upate mbili tatu, kazi ni nyingi ila connection ndio wengi hawapati. 1/ Kuna mall kubwa katika miji ambayo tunaishi, baadhi ya hizi mall wanakua na mbao/board za matangazo nenda stationary andika tangazo...
  15. Alkam Alkam

    Natafuta Gari Ford ya kununua kama hii chini

    Kichwa chajieleza hapo juu, natafuta gari ya kununua kama hiyo hapo offer yangu ni 40 kushuka chini. Nitext WhatsApp, unitumie picha, location, na baadhi ya maelezo kidogo kuhusu hiyo gari. Pia kama wewe ni owner au dalali. Sifuri saba tano tisa kumi na moja sabini na moja sabini na tano -...
  16. Alkam Alkam

    INAUZWA Android radio

    Radio Hiyo excellent condition nchi 10 ilikua kwenye Ist Usb Yake imepotea ipo na waya wa GPS tu ipo kitunda Mwanagati laki na 50 haina tatizo lolote 150000 piga Simu 0759117175
  17. Alkam Alkam

    Tunatengeneza mabango ya aina mbalimbali

    Karibuni Sana Tunatengeneza Mabango Ya Kila Design Na Tuna design Pia vitu vizuri Badilisha Nasi Muonekano Wa Duka Ofisi Yako Nasi kwa Maelezo Zaidi Tupigie Au Fika Ofisini Kwetu Sinza Mori Tembelea kurasa Zetu Instagram HD_signage Au tupigie 0759117175
  18. Alkam Alkam

    Car4Sale Pitia Hapa Kama Unataka Muonekano Wa Fremu Au Duka Lako

    Tunatengeneza Mabango Ya Kila Design Na Tunakufikia Popote Pale Ulipo Waweza Tembelea Kurasa Yetu Instagram (HD_signage_mabango) Uone Kazi Zetu Ofisi Zetu Zipo Sinza Mori Karibuni Saana +255759117175
  19. Alkam Alkam

    Uchawi katika Nyumba za kupanga

    UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama...
  20. Alkam Alkam

    Mambo Yasiyobatilisha Funga

    Kuna baadhi ya mambo ambayo mtu aliyefunga akiyafanya, anaweza kujiona kuwa amefungua lakini bado hajafungua. Miongoni mwa mambo haya ni: (i) Kula au Kunywa kwa Kusahau Mtu akiwa amesahau kuwa amefunga akala au akanywa kiasi chochote, hata kiasi cha kushiba, bado atakuwa na swaumu kwa ushahidi...
Back
Top Bottom