Search results

  1. kimsboy

    Ikija kugundulika Israel wamehusika hiiiiii

    Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana. Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na...
  2. kimsboy

    Rostam Aziz ni nani hasa? Nyendo zake zinatia shaka

    Ni mchepuko wa kizimkazi
  3. kimsboy

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Labda Mungu wa Mashoga Pumbavu
  4. kimsboy

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Kama kuna mkono wa Mossad wajiandae kupigwa makombora laki moja
  5. kimsboy

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    [emoji23] Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  6. kimsboy

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  7. kimsboy

    Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    “Nape, unawaogopa StarLink. Kwanini?” February 2023, Michael Coudrey (30), Mwenyekiti na CEO Pharos Investment Group kutoka USA alimtaka C.E.O wa StarLink, Elon Musk kuhakikisha Starlink inapatika Afrika Mashariki hususani Tanzania ili watu wapate huduma ya intaneti yenye kasi zaidi ili kupata...
  8. kimsboy

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Hebu nambieni, kwa speed hii[emoji1313] (angalieni hyo picha nilotupia) ndugu zangu utafanyia nini? Huu ni uzembe wa hali ya juu kabisa halafu waziri bado yupo ofisini tu, Taifa limepata hasara, vijana wengi wamepata loss hasa wanaofanya biashara online biashara zinazotegemea intanet na malipo...
  9. kimsboy

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Nchi ni siku ya tatu leo watu wapo na mkwamo wa internet waziri yupo tu karelax Anafanya nini ofisini?Kwani asijiuzulu haraka huyu mtu? Nape anafaa kuwajibishwa!! Kwanza yeye kwa maksudi ndo aliwapiga vita StarLink kwasababu tu na yeye ni mnufaika wa makampuni ya simu Huyu jamaa amekua...
  10. kimsboy

    India yavunja rekodi ya kujenga kilometres 100 za lami kwa saa 100 tu

    Sijazoea kucopy hizo sio mambo zangu mzee ndo maana unaona nakosea!!,,mimisio kama hao macopy cat
  11. kimsboy

    India yavunja rekodi ya kujenga kilometres 100 za lami kwa saa 100 tu

    India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile ===== India has achieved another milestone in the road infrastructure sector by laying bituminous concrete over a distance of 100...
  12. kimsboy

    Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

    Baba yako angepiga nyeto tu siku hiyo kuliko kuzaa uchafu kama wewe Wewe ni laana......
  13. kimsboy

    Badala ya kupambana gesi ishuke, yeye anataka gesi iwe kama Luku

    Wanasema anafungua nchi...twafaa
Back
Top Bottom