JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,529
- 7,618
Sawa Nape! Endelea kujaza Hilo tumbo kama chura.Chukua sumu unywe kama unaumia.
Sawa Nape! Endelea kujaza Hilo tumbo kama chura.Chukua sumu unywe kama unaumia.
Hebu fafanua hili makampuni ya mitandao ya simu yanamlipaje?Pia amekua akilipwa na Tigo kila mwezi
Analipwa na Vodacom kila mwezi
Analipwa na Halotel kila mwezi
Analipwa na Airtel kila mwezi
Analipwa ma Tigo kila mwezi
Akikujibu.. ni-tagHebu fafanua hili makampuni ya mitandao ya simu yanamlipaje?
Sawa mkuuAkikujibu.. ni-tag
Nape ajiuzulu
Kwenye kuiba kura wako faster sana!Nchi ni siku ya tatu leo watu wapo na mkwamo wa internet waziri yupo tu karelax
Anafanya nini ofisini?Kwani asijiuzulu haraka huyu mtu?
Nape anafaa kuwajibishwa!! Kwanza yeye kwa maksudi ndo aliwapiga vita StarLink kwasababu tu na yeye ni mnufaika wa makampuni ya simu
Huyu jamaa amekua anapokea mishahara mitano hadi sasa
Mshahara wa kwanza ni kutokana na cheo chake serikali
Pia amekua akilipwa na Tigo kila mwezi
Analipwa na Vodacom kila mwezi
Analipwa na Halotel kila mwezi
Analipwa na Airtel kila mwezi
Analipwa ma Tigo kila mwezi
Kwa maksudi na turufu yake aliondoa watu watatu pale tcra kwa kukataa kufata matakwa yake na kuhakikisha wanaingia watu wa team yake ili ulaji wake uendelee kuwepo
Huyu waziri hatufai!! Nape ajiuzulu
Mkuu unaweza kutuwekea Source ya huu mtonyo au ni upupu?Pia amekua akilipwa na Tigo kila mwezi
Analipwa na Vodacom kila mwezi
Analipwa na Halotel kila mwezi
Analipwa na Airtel kila mwezi
Analipwa ma Tigo kila mwezi
Aongezee na tofauti ya kampuni ya Tigo na hao Ma tigo.Hebu fafanua hili makampuni ya mitandao ya simu yanamlipaje?