Kwahio na kina harbinder Seth ni chama MojaMimi binafsi na mfahamu Rostam Azizi kama mwananchi wa kawaida sana. Mfanyabiashara ya media wakati alipoanzisha biashara ya magazeti akimiliki gazeti la mwananchi.
Rostam anasifika kwa Ushawishi wa kifedha hasa alivyotumia pesa kuiweka serikalini ya Awamu ya nne madarakani nakutunukiwa Jina la King Maker.
Rostam Azizi kama mhasibu wa chama cha CCM pia
Rostam Azizi ni mmiliki wa magazeti ya New Habari house.
Rostam Azizi ni mmiliki wa kampuni za mafuta na gas pia nimwagizaji wa mafuta yote Tanzania.
Rostam Azizi ni mmiliki wa kampuni kilimo na usafirishaji hapa Tanzania.
Rostam Azizi ni shemeji wa January Makamba
Rostam Azizi ni shemeji wa Hussein Bashe
Rostam ni mmiliki wa Vodacom, Tigo, na makampuni mengine ya Sim.
Rostam Azizi ni mlikuwa wa mwanzo wa IPTL na makampuni mengine huko Cyprus.
Rostam Azizi ni mwanahisa wa DP world.
Ni mmiliki wa kampuni mbalibali Marekani, Cyprus, Dubai na Uswiss.
Karibu
Alitumika tuKwahio na kina harbinder Seth ni chama Moja
.Kwa wale wenye ufahamu mkubwa na masuala ya intelligency watakubaliana nami kuwa CIA ni shirika la kijasusi lenye mtandao mpana ajabu duniani, shirika hili hununua raia wa nchi husika na kuwafanya kuwa wakala wake, huwageuza hata marais wa nchi kuwa vibaraka wake bila ya wao kujua, mfano mobutu, Noriega na wengineo wengi walitumika kama vibaraka wa CIA at the end wakageukwa..
Rostam inasemekana kuwa naye amekuwa akitumiwa sana na shirika hili ktk mambo yake,nilisikia tetesi hizi miaka mingi sana, na mwaka 2012 kuna mwana JF mwenzetu akaweka post nzito humu kuhusiana na Rostam, kama ilivyo kawaida ya JF, wengi walimponda sana mtoa mada, nadhani ndo maana aka suspend kumalizia parts zilizokuwa zimebaki.
Binafsi nilipata kumuona Rostam nikiwa na miaka 14, miaka mingi imepita, alikuwa akija nyumbani kwa waziri mmoja (jina kapuni) ambaye ni marehemu sasa, ni Rostam ndo alimuwezesha waziri huyo kuwa mbunge akisemekana alikuwa na ndoto za kugombea urais baadae kabla mauti haijamkuta,ni Rostam ametumia pesa nyingi kwa Odinga.
Sahihi kabisa!Ni Iran,Siyo Pakistan wala Afghanstan
Faida yake ni kubwa zaidi ya unavyodhani...ila ni faida binafsi na kwa familia yako.CIA wanalinda maslahi ya USA kwa gharama yoyote ile,ikiwemo na umwagaji wa damu,kupindua serikali mbalimbali duniani,kwahiyo hiyo bahati ukiwa nayo inafaida gani kwa taifa lako?
Maneno mazuri yenye hekima na busara kubwa!... Ila tu uwasilishaji wake ulikuwa katika njia ya utani.Fanya kazi popote tu mkuu kwa maendeleo ya sehemu yoyote hii dunia ni yetu sote mipaka ni mzungu tu aliweka 😀😀😀
Natumaini hivi sasa mambo yako yatakuwa safi ndugu gorokoMkuu HV inaweza kuwa na namb zake bwam Aziz najuwa mi mkarimu sna plz assist if u have
I have hadi number ya Samia, ila sio ustaarabu kutoa number ya mtu, hadi akupe mwenyewe, namna ya kukusaidia kumfikia nitakuelekeza namna rahisi ya kumpata.
P
Ukweli mtupu unaouma 😂ungejua TISS IMEJAA MAANITHI WA AKILI USINGE SEMA MAZUZU OG YANAPATIKANA TISS
Mimi binafsi na mfahamu Rostam Azizi kama mwananchi wa kawaida sana. Mfanyabiashara ya media wakati alipoanzisha biashara ya magazeti akimiliki gazeti la mwananchi.