Search results

  1. CABANA

    Nahitaji freezer used.

    Salama wandugu......nahitaji freezer used Yale ya biashara...njoo na ofa Yako tufanye biashara Leo Leo.
  2. CABANA

    Hii midoli nayo imezidi daah!

  3. CABANA

    Kangi Lugola: Laini za simu ambazo hazijasajiliwa hazitazimwa ifikapo Desemba 31

    Habari wanajamii. Leo hii bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani amesema zoezi la kujiandikisha NIDA ni endelevu na mpaka sasa, tayari wameshasajili watu milioni 21+ na lengo lilikuwa milioni 24+ na wenye vitambulisho tayari ni milion16+ na huku wengine wakibaki kuwa na namba tu. Amesema Rais...
  4. CABANA

    Kwanini wasanii wa Bongo hawajui kujieleza?

    Habari wanajamii. Nimekuja na swali hili baada ya kumsikiliza Ali Kiba alipotutangazia anakuja na kitu babukubwa tukamsubiri kwa hamu lakini alipoanza tu ile intro ni kama mtu anaeongea na masela tu kitaa hajui kama anaongea na East Africa nzima. Hata Diamond huwa ana huo ugonjwa, yaani...
  5. CABANA

    Anaejua maendeleo ya CV TEMESA

    Habari zenu humu ndani. Kimya kingi kina mshindo mkuu. Ila nyie TEMESA mmetesa sana mioyo ya watu. Jamani kuna anaejua maendeleo yoyote ya CV zetu kule TEMESA. Asante.
  6. CABANA

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Habari za jioni wanajf....bodi ya mikopo ya elimu ya juu leo hii imetangaza majina ya wanufaika wa awamu ya kwanza ( 1 batch ) ...wa mikopo hiyo...taarifa hiyo imetolewa na kurugenzi ya bodi hiyo. ==== Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (Heslb) imetangaza orodha ya kwanza ya majina...
  7. CABANA

    Gharama ya kuchukua fomu ya uenyekiti Serikali za mitaa

    Habari zenu wanaJF, Naomba kujua kwa yeyote anayejua gharama za kuchukua fomu za kugombea uenyekiti Serikali za mitaa kupitia chama cha mapinduzi ni kiasi gani. Nawasilisha.
  8. CABANA

    Nahitaji laptop

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji laptop nzuri yenye kufanya kazi vizuri.... tuma details zako.. Nina 200K...nyongeza tunaweza ongea.
  9. CABANA

    Rais Magufuli amuumbua Janet Mbene waziwazi

    Tabia ya viongozi kuchomeana mbele ya mkuu, leo limemtokea puani mbunge wa Ileje, Janeth Mbene pale alipopewa nafasi ya kuzungumzia masuala ya jimbo lake na yeye kuchomekea kwamba mkurungezi hafanyi kazi vizuri na aondolewe... Lakini majibu ya Mh. Rais yalikuwa kinyume na matarajio ya mbunge...
  10. CABANA

    TV4Sale Nauza TV Panasonic

    Tv ndio hiyo hapo, haijawahi kumuona fundi.....panasonic inch 21 Bei Tsh.80000/- Maongezi yapo. Ipo Dar es Salaam..Upanga.
  11. CABANA

    Mkopo wa 1trilion kutoka WB

    Nimeona habari hii kuwa leo hii serikali yetu imepokea mkopo wa trilion 1...na zinaenda kutumika kwa ajili ya kaya masikini (Tasaf) . Mimi binafsi hii tasaf huwa nahisi ni upigaji huwa inajifanyia kazi zake bila monitering yoyote...1Tril ni pesa nyingi sana deni la nchi linazidi kuwa kubwa sana.
  12. CABANA

    Msaada kwa anaejua jinsi yakuomba mkopo

    Tafadhari naomba kwa anaejua namna ya kuomba mkopo kupitia MPesa anijulishe...nimepoteza ile namba niliyokuwa naitumia .ASANTE.
  13. CABANA

    NAFASI YA KAZI

    Kuna nafasi moja ya kazi maeneo ya kawe...anahitajika mlinzi umri miaka 25 na kuendelea,,, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye ulinzi na asiwe anatumia kilevi chochote. Nyumba yenyewe ina geti na nyumba tatu ndani...mlinzi ana chumba chake ,choo na bafu maji yapo. Atakaye kaa hapo hapo...
  14. CABANA

    Mwenye Kujua Kuhusu hii kozi ya Project and Planning Management anijuze pls.

    msaada wadau mwenye kujua kuhusu hiyo kozi ya PPM ,, kama inaweza kumsaidia mtu ajira ama kujiajiri na msaada huku ukiringanisha na urban planing and environmental management.
  15. CABANA

    MSAADA

    Wadau habari zenu..... ni kuhusu kozi ya B. in urban development and Environment management je nini future yake na ajira je zinapatikana... Pia ukilinganisha na Project planning management ipi inafaa zaidi.
  16. CABANA

    ANATAFUTA KAZI

    Habari zenu wanagenzi wa JF.. nina ndugu yangu yuko huko DSM..anatafuta kazi yoyote hasa viwandani.. ana miaka 35 elimu hadi kidato cha sita, ana basic computer knowledge(certificate), lugha anajua nne maana amewahi kuishi ughaibuni, amewahi kufanya kazi ya marketing kwenye kampuni moja ya...
  17. CABANA

    Viongozi wa juu wa nchi kujihusisha na matangazo ya biashara

    Habari zenu wana jamvi!!!! hivi kulingana na utaratibu na sheria pia, ni vizuri kwa kiongozi wa juu kujihusisha na kutangaza biashara fulani. Kama mmewahi kusikia tangazo la vodacom la mpesa ambalo kamanda wa jeshi la polisi dar es salaam kova, anatoa maelezo kwamba watu watumie mpesa hivi ni...
  18. CABANA

    TRA ukiritimba, wizi na rushwa .

    Tanzania Revenue Authority imejaa ukiritimba sana, kupata TIN tu ambayo ni kitu cha bure mpaka, unazungushwa sana mwishowe unaambiwa tuongee kidogo ndipo upate. Ofisi zao unapoingia tu unakutana na vishoka bila woga kabisa wamejaa milangoni hadi maofisini hili kila mdau wa tra analijua. uwanja...
  19. CABANA

    Vodacom wezi sana!!!!

    Habari zenu!!! hawa voda baada ya kuweka cheka ya 1000 yaana *147*1000` wakaniletea sms kwamba nimepewa kifurushi cha internet bila kikomo masaa 24. nami bila hiana nikaanza kukikamua. Kumbe lilikuwa ni boya basi pesa yote kwenye simu imekwisha na kilichobaki ni sms 1000000 yaani 1mil, na kupiga...
Back
Top Bottom