ANATAFUTA KAZI

CABANA

JF-Expert Member
Feb 6, 2013
418
548
Habari zenu wanagenzi wa JF.. nina ndugu yangu yuko huko DSM..anatafuta kazi yoyote hasa viwandani.. ana miaka 35 elimu hadi kidato cha sita, ana basic computer knowledge(certificate), lugha anajua nne maana amewahi kuishi ughaibuni, amewahi kufanya kazi ya marketing kwenye kampuni moja ya magazeti... Jamani saidieni mtu huyu ili aweze kuitunza familia yake maana ni mchapakazi, ana uzoefu wa kufanya kazi ngumu na nyepesi.. ASANTENI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom