Machoni kama watu Mioyoni hawana utu, Mchana wacha Mungu usiku ni wanga sugu. Mistari hii inatosha sana kumuelezea jamaa mmoja ambaye yeye huwa ana tabia ya kila nafasi akipewa huji position kama ni kazi maalum kwa umaalumu alio nao.
Huyu kiongozi huwa hana uwezo wa kuongeza na hatimaye kupaya...
Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani...
Dunia inabadilika kwa kasi sana, dini (Ukristo , Uhindu na Uislam) zinajaribu kwenda kinyume na uelekeo wa mawimbi, dini zinapingana na upepo, dini zimezeeka, dini zinaizuia dunia isisonge mbele, dini zinajenga chuki, dini zinajaribu kumdhibiti Mwanadamu asitumie weledi wake wala akili zake...
Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo.
Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania...
Katika michuano ya kombe la mapinduzi msimu 2023/24, mechi pekee ambayo timu ya Mlandege ilishinda katika michuano hiyo ni mechi ya fainali na ikachukua kombe.
Wakati upande mwingine, klabu ya Simba mechi pekee iliyofungwa ni ile ya fainali.
Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa kuyaondoa matongotongo akilini.
Nimewatufutieni clip hii kwa makusudi. Hii vielelezo vyake vyote vipo...
Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
Najua kuna wacheza kamari tayari wameshacheza, wengine hawana taarifa na wengine wamesahau. Naomba nitumie uzi huu kuwakumbusha wale wote walio tayari kucheza USA Green Card Lottery, kwamba, dirisha limeshafunguliwa na wacheza kamari kutoka nchi mbalumbali wanacheza kwa bidii kujaribu bahati...
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio.
Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
Watawala wanazunguka sana, wanahangaika sana. Kwa muda mrefu Katiba yetu imekua ikitoa kinga kwa rais aliyemaliza muda wake kuja kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya alipokua madarakani.
Kinga imekua ikipigiwa keleke sana, ilifikia mahala tukaona kabisa walebwaliojiita Wazalendo na wenye uchungu...
Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu.
Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka kwenye maji au matope, yaani kupaparika.
Nadhani tumeelewana.
Pateni video
MAana nyingine ya...
Mabadiliko ya mawaziri ambayo yamekuwa yakifanywa tangu rais Samia aingie madarakani, yamelenga kupunguza wale wenye umri mkubwa (Senior Citizens) katika nafasi hizo ili kuwapisha au kuwaingiza under 50.
Hili litaenda hadi ndani ya majeshi yetu na taaisi nyingine za usalama.
Mkakati uliopo hivi...
Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana.
Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
Hawa UAE ni ndugu zetu wa damu kabisa, tumeoleana pia ni wajomba zetu hawa.
UAE wametoa orodha ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini mwao bila ya visa.
Nchi walizoziruhusu zote ni hizo hapo.
These are countries/states whose citizens can enter the UAE visa-free, as per the latest MOFA...
Ghafla bin Vuuu... watu wanashuhudia Helikopter ya Jeshi la Urusi aina ya Mi-8 inaingia kwenye kituo cha anga cha Poltava nchini Ukraine. Hilo halikua shambulizi bali ni tukio la Mwanajeshi huyo kutorokea Ukraine
Rubani huyo aliwasili na helikopta ya Urusi aina ya Mi-8 AMTSh kwenye kituo hicho...
Watunwameshangazwa sana na namna KKKT ilivyojibu kuhusiana na swala la Bandari. Wanajiuliza ni kipi kimewatokea KKKT hata waonekane kurudi nyuma katika kutoa hili na hatimaye kuonekana ni 'watoto wapendwa' wa Watawala.
Ieleweke kwamba, KKKT wao pia wamekuwa na kawaida ya kutoa Waraka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.