Recent content by OLS

  1. OLS

    Usawa utapunguza mauaji ya wenza Afrika

    Nimeangalia takwimu za Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya wenza duniani, Afrika ina rate kubwa ya mauaji kuliko mabara mengine. Kwanza tujue katika mauaji haya, wanawake ni waathirika wakubwa zaidi kuliko wanaume. Data zinaonesha wanawake wanaouawa ni mara mbili zaidi ya wanaume wanaouawa kwenye...
  2. OLS

    Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  3. OLS

    Kuna kero za muungano au muungano ni kero?

    Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
  4. OLS

    Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Point yangu ni kuwa tujue hata viongozi wetu hawajui katiba, sidhani kama kulikuwa na nia nyingine yeyote ovu baada ya kifo
  5. OLS

    Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  6. OLS

    Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

    Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24 Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
  7. OLS

    Akili za kibiashara kwa Watanzania ni za kutafuta, ndio sababu tuna Watanzania wachache matajiri

    Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi. Agha...
  8. OLS

    Watanzania hawapendi maandamano au hawajui haki zao?

    Achana na maandamano ya CHADEMA, miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na maandamano ya wamachinga. Mtu mmoja ambaye alitajwa kuwa msemaji wa wamachinga alirekodiwa akiwataka watu wengine wasiandamane kwa kuwa wakivunjwa miguu watakaoathirika ni wao na sio walioandaa maandamano. Nilipoona video ile...
  9. OLS

    Watoto wafundishwe uraia, au tuendelee kutumia fedha vibaya kwenye uchaguzi na Katiba mpya

    Matokeo ya kidato cha nne yameacha kujadiliwa, kama kawaida waandishi wameripoti bila kwenda kiundani zaidi kusema matokeo haya yana maanisha nini kwa jamii. Hata hivyo kuna mtu ndani ya JF alienda mbali kufananisha ufaulu wa hisabati na Urai na aliangalia pia fedha zinazowekwa kwenye hisabati...
  10. OLS

    Ni muhimu kuwa na ukomo wa umri wa mtu kuwa Rais Tanzania

    Kiafrika Rais ana nguvu kubwa sana, mtu akizeeka uwezo wake wa maamuzi hupungua, hivyo kuwa na marais wazee ni kujiingiza kwenye hatari zaidi ya kupata maamuzi mabaya yatakayoathiri taifa kutokana na nguvu ya rais na umri wa rais. Suala la tuanze na umri gani kwa mtu kuwa rais, kwanini miaka...
  11. OLS

    Ni muhimu kuwa na ukomo wa umri wa mtu kuwa Rais Tanzania

    Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki madarakani. Hii sio shida lakini ni muhimu ukomo wa umri uwepo ili kutokuwa na marais wazee ambao...
  12. OLS

    Nimeenda supermarkets kadhaa wanasema hawana sukari

    Kwa miezi minne natumia kilo moja, kwa mwaka ni kilo nne zinanitoshwa mwaka mzima, mimi nilinunua tu kilo 10. Je, karibu home, sijaoa
  13. OLS

    Nimeenda supermarkets kadhaa wanasema hawana sukari

    Nilinunua sukari nyingi ya kunitosha mwaka mzima (Kwa kuwa naishi mwenyewe ni rahisi). Baada ya kuja suala la kudhibiti bei ya sukari, nadhani wafanyabiashara wako katika mgomo fulani. Jana nimeenda supermarket wamenambia hawana sukari. Nadhani badala ya kudhibiti bei kuna namna sahihi zaidi ya...
  14. OLS

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Atakayesema hivyo hajui kuhusu uchumi na fedha.
  15. OLS

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Gharama ziwekwe wazi, ndio neno
Back
Top Bottom