Recent content by News TZ

  1. N

    Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  2. N

    Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

    Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel International’s Senior Vice President Laurent Voivenel (centre) at the signing of a deal for the...
  3. N

    Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  4. N

    Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Yes free subscription ipo available sasa na unaweza pakua App ya Boomplay na kukomboa huduma hiyo ya bure kwa siku ya leo tu. Kumbuka msanii wa ki Afrika Tems ameshinda leo hivyo kama wa Afrika tunasherekea ushindi wake na Boomplay inatoa fursa hiyo kupitia free subscription.
  5. N

    Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
  6. N

    Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  7. N

    Boomplay, Merlin waongeza mkataba wa leseni; sasa kuzifikia nchi 47 Afrika

    BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
  8. N

    Kayumba adondosha EP ya Sweet Pain

    Dar es Salaam, 18/11/2021; -NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Kayumba Asosie almaarufu 'Kayumba' ameachia rasmi Extended Playlist (EP) yake ya kwanza iliyobeba jina la ‘Sweet Pain’. EP hiyo imebeba ngoma sita za moto ambazo ni ‘Mapenzi Yanauma’, ‘Bombaa Remix ft Nadia Mukami’, ‘Baishoo’, ‘Move On...
  9. N

    Boomplay na capasso zatia saini kuendeleza makubaliano ya kimkakati

    JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI-App na jukwaa linaloongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay limeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama kinachosimamia hakimiliki za watunzi na waimbaji wa muziki (CAPASSO) ikiwa ni mkakati wa Boomplay kuendelea kupanua huduma zake...
  10. N

    Takwimu za Boomplay kuingizwa kwenye chati ya Billboard

    Dar es Salaam. Boomplay imetangaza rasmi kuwa, sasa itaingiza takwimu za wasanii wa Afrika katika chati maarufu za Billboard. Chati hizo ni kama Billboar Hot 100, Billboard 200, Artist 100 na Billboard Global 200, na pia chati zingine zote za Billboard Marekani na kimataifa ambazo zinajumuisha...
  11. N

    Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

    It's a Chinese establishment See more here AVIC TOWN
  12. N

    Tony Douglas appointed chief executive officer of etihad aviation group

    Tony Douglas, Group Chief Executive Officer, Etihad Aviation Group Abu Dhabi, UAE – The Chairman of Etihad Aviation Group, His Excellency Mohamed Mubarak Fadhel Al Mazrouei, today confirmed the appointment of Tony Douglas as Group Chief Executive Officer, who will join the company in January...
  13. N

    BoT sheds light on money flow

    Bank of Tanzania Governor, Professor Benno Ndulu, addressing a media conference yesterday in Dar es salaam to shed light on the country's economic performance.(left) is Director of Economic Policy and Finance Johnson Nyella. IN SUMMARY What we see is absence of cheap money obtained illegally...
  14. N

    Ufisadi wa fedha za elimu bure wagundulika

    FEDHA zilizotengwa na Rais John Magufuli kwa ajili ya kugharimia elimu ya bure nchini, zimeanza kutafunwa baada ya kubaini kuwapo kwa udanganyifu unaofanywa na walimu wakuu kwa kuongeza idadi ya wanafunzi hewa ili kupata fedha zaidi. Kutokana na hali hiyo, wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es...
Back
Top Bottom