Recent content by jamaikatz

  1. J

    Ni aibu kwa Serikali kwa Mashirika ya Umma karibu yote kupata hasara

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere leo amewasilisha Ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma ambapo moja ya aliyoyasema kwenye ripoti hiyo ni kuhusu Mashirika ya Umma yanayojiendesha kibiashara...
  2. J

    Je, wajua? - Special Thread

    #Jewajua : Nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne kisheria angeweza kuichezea timu ya taifa ya Burundi iliyofuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa AFCON kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2019. De Bruyne alizaliwa mjini Dronen, Ubelgiji japo mamake Anna ni mzaliwa wa Burundi, ikimaanisha...
  3. J

    Love juakali alivyomlipa Wema mwanamke mwenzake aliyedai hampendi kwasababu ana sura na umbo baya

    LOVE JUAKALI ALIVYOMLIPA WEMA MWANAMKE MWENZAKE ALIYEDAI HAMPENDI KWASABABU ANA SURA NA UMBO BAYA. Unaweza kushangaa! unaweza usiamini lakini watu wema bado wapo! kama matukio yanavyojieleza pichani. Siku kadhaa zilizopita content creator mmoja wa hapa Dar es salaam aliongozana na Love Juakali...
  4. J

    Mdomo unaumba, jinenee mema

    MDOMO UNAUMBA, JINENEE MEMA. Miaka mitatu nyuma kulitokea kutokuelewana kati ya Jay Melody na Nandy ambapo Jay Melody alisikika akilalamika kuwa wakati Nandy hajawa msanii mkubwa Jay Melody ni miongoni mwa waandishi waliokuwa wanamuandikia Nandy nyimbo na kwenye zile nyimbo za Nandy za mwanzoni...
  5. J

    Muziki ni kama laana fulani hivi

    [emoji116][emoji115]
  6. J

    Muziki ni kama laana fulani hivi

    Unajua muziki ni kama una laana. Bible inasema shetani alikuwa malaika wa kumsifu Mungu, Makerubi nadhani ambaye alikuwa na mbawa sita. Na kila bawa alilokuwa analifunua, vilikuwa vinasikika vinanda na sauti za kumsifu Mungu. Wakristo wanaimba kanisani kumsifu Mungu, Mungu anapenda sana hii...
  7. J

    Huyu ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani

    Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani. Jamaa ana dola bilioni 3.2. Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5. P Didy ana dola milioni 800 Dr Dre ana dola milioni 500 Kanye ana dola milioni 400. Floyd Mayweather ana dola milioni 400 Why Jordan ana pesa...
  8. J

    Jua haya kuhusu Vatican

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  9. J

    NASA wajanja sana

    Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo. Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo...
  10. J

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  11. J

    Natafuta kazi yoyote

    Jifunze kuandika ndio utuambie [emoji16][emoji16][emoji16]
  12. J

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Mleta mada mbona kama unatuchora mpaka leo hii huu uzi bado haujaanza tu
Back
Top Bottom